Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAUAJI YA WANAWAKE NACHINGWEA YAENDELEA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Renatha Mzinga. MWILI wa mwanamke mwingine aliyetambulika kwa jina la Zuhura Mtenda mwenye umri wa miaka, 32 umeokotwa leo na kufanya idadi ya wanawake waliouawa mpaka sasa katika Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi kufikia nane. Wanawake hao nane waliouawa kikatili mpaka sasa wana umri kati ya miaka 18-32.
Chanzo cha mauaji hayo kimedaiwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi. Katika kuonyesha kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE YAENDELEA NDANI YA WILAYA YA NACHINGWEA

 Kikundi cha Wakulima cha Umoja Rika wakiinua majembe juu kama ishara ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyefika kwenye shamba hilo la ushirika la Mkotokuyana wilaya ya Nachingwea. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakulima wa kikundi cha Umoja Rika kilichopo Mkotokuyana,Nachingwea mkoani Lindi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendesha treka kulima shamba la ushirika la Mkotokuyana huku akiwa amempakia Mbunge wa Jimbo la ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya weusi yaendelea Marekani

Polisi mjini Cleveland nchini Marekani, wameachilia video inayoonesha mauaji ya kijana wa miaka kumi na miwili akipigwa risasi

 

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya kikatili yaendelea Syria

Wakati vita vilivyojaa ukatili vikiendelea nchini Syria, katika mji kubwa wa Aleppo, maelfu ya watu imearifiwa wameuawa

 

9 years ago

Mwananchi

Mauaji ya ‘Tajiri Mtoto’ yaendelea kuzua utata

Mtandao wa kikundi kinachozalisha pombe kali bandia kinachodaiwa kuwa na uhusiano na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), unahusishwa na mipango ya kumuua mfanyabiashara Joseph Mahole maarufu ‘Tajiri Mtoto’.

 

10 years ago

CloudsFM

Kesi ya mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi yaendelea Iringa

MAHAKAMA kuu kanda ya Iringa inaendelea na vikao vyake huku leo kesi ya ya mauwaji ya mwanahabari mkoani Iringa Daud Mwangosi inayomkabilia mtuhumiwa wa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Iringa (FFU) Pasificus Cleophace Simon mwenye namba G 2573 inataraji kuanza kusikilizwa kwa upande wa mashahidi kuanza kutoa ushahidi wao.

Kesi hiyo inayoanza leo inaanza kusikilizwa leo Feb 12 -18 mwaka huu huenda hukumu ya kesi hiyo kutolewa siku ya tarehe 18 mara baada ya mashahidi kumaliza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji ya kutisha dhidi ya wanawake

>Katika hali inayoashiria ukatili wa kutisha, wanaume watatu katika maeneo tofauti nchini, wamewaua wake zao kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wakerwa na mauaji Misri

Zaidi ya wanawake 100 wa Misri wameandamana mjini Cairo, kutaka uchunguzi ufanywe dhidi ya mauaji ya mkereketwa wa haki za kibinadamu, Shaimaa Sabbagh.

 

10 years ago

CloudsFM

MBARONI WAKIHUSISHWA NA MAUAJI YA WANAWAKE DAR

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya utekaji, unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Alisema watuhumiwa hao wamehusishwa na vitendo hivyo baada ya upelelezi wa kina na wa kitaalamu uliosaidia kuwakamata wahalifu hao wakiwa na vielelezo mbalimbali.

Kova aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkono aishukia serikali mauaji ya wanawake

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, ameishutumu serikali kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya mauaji ya kikatili  wanayofanyiwa wanawake katika baadhi ya vijiji vya Tarafa ya Nyanja huku akisema serikali imekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani