Polisi wa Misri watuhumiwa kwa mauaji
Shirika la Human Rights Watch, limesema kuwa polisi wa Misri waliwaua kiholela wapinzani wa aliyekuwa Rais Morsi mwaka jana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM25 Jun
POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...
10 years ago
StarTV03 Dec
Polisi Dar yashikilia watuhumiwa wa mauaji ya wanawake.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam linawashikilia watu wawili kwa makosa ya mauaji ya wanawake 11 baada ya kuwarubuni kimapenzi, kuwatilia dawa kwenye vinywaji na kisha kuwateka, kuwanyanyasa kijinsia na hatimaye kuwaua.
Watuhumiwa hao ambao ni Abubakar Aman na Ezekiel Kasenegala wamekiri kuhusika na mauaji ya aina hiyo katika kipindi cha miaka miwili yakiwemo mauaji ya hivi karibuni ya wasichana wawili wa Chuo cha Ukutubi Bagamoyo mkoani...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Polisi sita watuhumiwa mauaji wafikishwa mahakamani
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
ASKARI sita waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhusishwa na mauaji ya wafanyabiashara, jana wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia.
Washtakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.
Mbele ya Hakimu Simba, Wakili wa Serikali Mkuu, Mutalemwa Kisheni, aliwataja washtakiwa kuwa ni Inspekta Bon Mbange mkazi wa Magomeni, F 919 Sajenti Filbert Nemes na Askari wa Kikosi cha Kuzuia...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Polisi walaumiwa kuhoji watuhumiwa kwa nguvu
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5_3_qwbjeGs/U865fdvjaII/AAAAAAAF4zI/IWz3vZtKBp4/s72-c/mngulujuly152014.jpg)
watuhumiwa 25 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ugaidi nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-5_3_qwbjeGs/U865fdvjaII/AAAAAAAF4zI/IWz3vZtKBp4/s1600/mngulujuly152014.jpg)
Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu.Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo. Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UqXcLrhCRHE/Vmq90yy3DnI/AAAAAAAILpU/uJute1K2IsQ/s72-c/IMG_7727.jpg)
WATUHUMIWA 40 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA UKWEPAJI KODI.
Kati ya hao, watuhumiwa 26 ni watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)na watumishi 03 kutoka Bandari kavu (ICD) YA AZAM wanatuhumiwa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/0Xtn-DEkIBA/default.jpg)
10 years ago
MichuziPOLISI MNAWAFAHAMU WATUHUMIWA HAWA! WIZI WA KITAPELI KWA SIMU ZA MKONONI WAKITHIRI KARIKAKOO DAR.
Kwa Mujibu wa shuhuda vijana hao huwa kundi na baadhi huangalia mwenzao akitekeleza uhalifu wakati wao wakihakikisha wanampa ishara ya kufuatiliwa na kutoa ishara waonapo mazingira ya mchakato kushindikana ama hali kuwa tete kwa mwenzao iwapo mnunuzi wa simu atakuwa...