Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom wakerwa na mzigo wa kodi

Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania, imelalamikia kutozwa kodi kubwa na kusababisha ishindwe kutoa huduma za mawasiliano kwa wananchi wengi wa vijijini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Filbert Bayi Schools walia mzigo wa kodi

MKURUGENZI mkuu wa Shule za Filbert Bayi (Filbert Bayi Schools), Anna Bayi, amesema mzigo wa kodi wanazotakiwa kulipa wamiliki wa shule ni mzigo kwao na wazazi. Bayi aliyasema hayo juzi...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4



Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi hao kuhusiana na mwelekeo wa kampuni ambapo pia alitoa takwimu za malipo ya kodi serikalini 2014/2015,Vodacom imelipa kodi ya mapato inayofikia shilingi bilioni 46.4 na kukusanya kodi ya mapato, kwa niaba ya serikali kodi ya ongezeko la thamani (VAT) zaidi ya shilingi bilioni 108.6 na Kodi ya zuio inayofikia kiasi cha shilingi bilioni 81.5. kwa mwaka wa fedha uliomalizika...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza(kulia) akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV, IssaKwissa Mwaifuge baada ya kuongea na waandishi wa habari kuhusiana  na  mwelekeo na malengo ya kampuni ambapo alitoa takwimu za malipo ya  kodi serikalini 2014/2015   ambapo alibainisha kuwa Kodi ya malipo iliyolpwa ni kiasi cha shilingi bilioni 46.4 na kukusanya kodi ya mapato,...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom kinara wa kulipa kodi sekta ya mawasiliano

 Waziri kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha(kulia) akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, kombe la mshindi wa pili kwa walipa  kodi wakubwa nchini wakati wa maadhimisho ya nane ya siku ya mlipa kodi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Vodacom imeongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini. Waziri kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha(wapili kutoka kulia)akiwa katika picha ya pamoja na washindi watatu bora wakubwa walipa kodi kutoka kushoto ni Meneja wa maswala ya...

 

10 years ago

GPL

VODACOM KINARA WA KULIPA KODI SEKTA YA MAWASILIANO‏

Waziri kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, kombe la mshindi wa pili kwa walipa kodi wakubwa nchini wakati wa maadhimisho ya nane ya siku ya mlipa kodi iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Vodacom imeongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini. Waziri…

 

10 years ago

GPL

HAIJAPATA KUTOKEA, VODACOM KINARA WA KULIPA KODI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI

MWISHONI mwa wiki kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliibuka kinara wa pili kwa walipa kodi wakubwa na inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini ambapo haijawahi kutokea. Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha Elimu ya walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania,Richard Kayombo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani