Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wakerwa uchakachuaji wa tumbaku

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, wameelezea masikitiko yao kuhusu uchafuzi wa tumbaku unaofanywa na baadhi ya wakulima wasio waaminifu na kutaka itungwe sheria kukabiliana na uovu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Hai wakerwa makosa ya uandishi

BARAZA la Madiwani wilayani Hai, limeelezea kutoridhishwa na uandaaji wa kumbukumbu za vikao mbalimbali unaofanywa na wataalamu, hali inayochangia kutumia muda mwingi kufanya marekebisho. Wakizungumza kwenye kikao cha baraza, madiwani...

 

11 years ago

Habarileo

RC aonya uchakachuaji takwimu za elimu

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John MongelaKAIMU Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amewaonya watendaji wa elimu kuanzia ngazi ya kata hadi Halmashauri kuacha tabia ya kuchakachua takwimu za elimu, badala yake waandike takwimu sahihi zinakazosaidia kuboresha sekta hiyo na kuinua kiwango cha taaluma.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Video onyo la uchakachuaji kura

Bonyeza hapa

The post Video onyo la uchakachuaji kura appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakerwa na uzembe Moshi

Wananchi wa Kijiji cha Himo, Kata ya Makuyuni, wilayani hapa mkoani Kilimanjaro wameonyesha kukerwa na kitendo cha halmashauri ya kijiji kutoichukulia hatua kampuni iliyoshinda zabuni ya kukusanya ushuru wa malori yanayosafirisha mazao kwenda Kenya.

 

11 years ago

Habarileo

Maaskofu wakerwa na wabunge

Askofu wa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga. KUSHAMIRI kwa matukio ya kupigana vijembe, kebehi, kashfa na mipasho katika Bunge Maalumu la Katiba, kumezidi kuwaibua wengi wakilaani na kukemea hali hiyo inayotajwa kuharibu nia nzuri ya serikali ya kuhakikisha Katiba bora inapatikana kwa wakati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wakerwa na mauaji Misri

Zaidi ya wanawake 100 wa Misri wameandamana mjini Cairo, kutaka uchunguzi ufanywe dhidi ya mauaji ya mkereketwa wa haki za kibinadamu, Shaimaa Sabbagh.

 

10 years ago

Habarileo

Wakerwa wanafunzi kuwa vibarua

WANANCHI katika kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, kudaiwa kufanyishwa kazi za vibarua vya kulima na kazi nyingine na walimu wa shule hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakerwa shilingi kushuka thamani

Wasomi nchini wamezungumzia kuhusu kupanda kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania na kusema kunasababishwa na kuongezeka kwa uagizaji wa bidhaa kutoka nje na kusababisha fedha nyingi kutafutwa ili kulipia bidhaa hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

Vodacom wakerwa na mzigo wa kodi

Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania, imelalamikia kutozwa kodi kubwa na kusababisha ishindwe kutoa huduma za mawasiliano kwa wananchi wengi wa vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani