Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video onyo la uchakachuaji kura

Bonyeza hapa

The post Video onyo la uchakachuaji kura appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

RC aonya uchakachuaji takwimu za elimu

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John MongelaKAIMU Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amewaonya watendaji wa elimu kuanzia ngazi ya kata hadi Halmashauri kuacha tabia ya kuchakachua takwimu za elimu, badala yake waandike takwimu sahihi zinakazosaidia kuboresha sekta hiyo na kuinua kiwango cha taaluma.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wakerwa uchakachuaji wa tumbaku

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, wameelezea masikitiko yao kuhusu uchafuzi wa tumbaku unaofanywa na baadhi ya wakulima wasio waaminifu na kutaka itungwe sheria kukabiliana na uovu...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Noah Pv Ft Ibra O — Kura Yako

Video mpya ya msanii Noah Pv amemshirikisha Ibra O wimbo unaitwa “Kura Yako” video imeongozwa na kampuni Under After Daylight Films Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba: Kanuni zisilazimishe kura ya wazi, usiri? [VIDEO]

Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa Kamati hiyo, Prof. Costa Ricky Mahalu katika semina iliyohitimishwa leo asubuhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Amasely & Masia,Feysaly – Mpiga Kura

Video mpya ya wimbo unaitwa “Mpiga Kura” wasanii ni Amasely na Masia,Feysaly ambao wanahamasisha kupiga kura kwa amani. Video imeongozwa na Bwana Mtui Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Happiness Watimanywa akifafanua jinsi ya kumpigia kura

Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ambaye kwa sasa yupo kwenye kinyang’anyiro cha Miss World nchini Uingereza, amewatumia ujumbe Watanzania jinsi anavyoendelea na mashindapo pamoja njia za kumfanya aibuke kidedea na taji hilo. Pia ameaitumia ujumbe Bongo5 akisema: Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono. Hadi sasa tunafanya vizuri Miss World. Tunaweza kufanya vizuri zaidi.”

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri ama la? ‘Amueni wenyewe,’ Mahalu awaambia wajumbe #Bunge la #Katiba [VIDEO]

>Swali la njia muafaka ya kupiga kura limewagawa vilivyo wajumbe wiki hii, huku vikao vikitawaliwa na mabishano makali kati ya wanaotaka kura ya siri, na wanaotaka uwazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani