Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajiandalia maziko miaka 14 sasa

Mkazi wa Sumbawanga, Gilbert Paul akiwa ndani ya kibanda chake cha kazi kilichopo Mtaa wa Sasala mjini Namanyere wilayani Nkasi huku akiwa amesimika msalaba alioutengeneza mwenyewe kwa ajili ya kaburi lake. Picha ndogo akiwa na mkewe na mtoto wake. (Picha na Peti Siyame).KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi wa mjini Namanyere wilayani hapa mkoa wa Rukwa, Gilbert Paul (37) aliyejiandalia maziko yake miaka 14 iliyopita, bado yu hai.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!

Stori: Mwandishi Wetu, Songea
Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Miaka 41 Sasa Hawataki Kuhamia Dodoma

PAMOJA na kujinasibu kwamba Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Serikali ya Tanzania, lakini inaonekana dhana hiyo ni ya kufikirika ambayo imejawa na matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi kwa miaka 39 sasa. Mwandishi Wetu DANIEL MBEGA anachambua kwa kina suala hilo na nini Watanzania wategemee. “MAJENGO yanazidi kufumuka kama uyoga, lakini viongozi wa serikali wanapenda anasa na kuamua kubaki Dar es Salaam upepo wa Pwani unakovuma, hawataki kuja kula vumbi la huku Dodoma,” Elibariki Njau (64)...

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu ya msingi sasa ni miaka kumi

Serikali imetangaza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 inayohuisha na kufuta sera kadhaa zilizosimamia sekta hiyo, huku elimu ya msingi ikitakiwa kuwa ya bure na kuishia kidato cha nne, lakini wadau wa elimu nchini wana shaka kama utekelezaji wake utafanyika kwa ufanisi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa Uhispania sasa mpaka miaka 16

Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa kuanzia leo Alhamisi raia wa chi hiyo watakubaliwa kufunga ndoa kisheria watakapotimiza umri wa miaka 16 badala ya miaka 14 ilivyokuwa awali

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 22 ya wageni kumiliki sasa zamu ya wazawa

Tanzanite ni madini adimu yanayochimbwa eneo moja tu duniani ambalo ni Mererani katika Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Alifungwa miaka 40 upweke sasa yuko huru

Albert Woodfox aachiliwa huru baada ya kuwa kizuini bila ruhusa ya kutangamana na watu wengine kwa miaka 40, jimbo la Lousiana.

 

10 years ago

Bongo5

DeeAndy: Uhusiano wangu na Godzilla una miaka 2 sasa

Hawakuwahi kusema hadharani kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi, lakini wengi walikuwa wakiona ukaribu wa kimahaba uliopo kati ya rapper wa ‘Sala Sala’ Godzilla na mtangazaji wa Clouds FM, DeeAndy. Mtangazaji huyo wa 255 ambayo ni sehemu ya kipindi cha XXL, amelazimika kuthibitisha uhusiano wake na rapper huyo anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa Jumatatu hii baada […]

 

10 years ago

Vijimambo

ONYESHO LA MIAKA 16 YA LUIZER MBUTU NDANI YA TWANGA PEPETA SASA NI JANUARI 31

Mwanadada Luizer Mbutu, mmoja wa waimbaji mahiri wa muziki wa dansi, sasa anatarajiwa kuongoza onyesho kubwa la Twanga Pepeta la kusherehekea miaka yake 16 mfululizo ya kuitumikia bendi hiyo, Jumamosi ya Januari 31.Hii ni baada ya onyesho hilo kuahirishwa mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo vya wasanii waliotarajiwa kushiriki tukio hilo la kihistoria. Mara ya mwisho onyesho hilo lilipangwa kufanyika Disemba 20.Kama ilivyopangwa hapo awali, katika onyesho hilo...

 

5 years ago

CCM Blog

BAADA YA MIAKA MITATU SASA WANANCHI KAGERA KUIONA MELI, KUTIA NANGA JUNI 28, 2020

Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akizungumza na waendesha bodaboda wa Manispaa ya Bukoba akiwaeleza mambo mbalimbali ikiwemo kuchangamkia fursa meli itakapowasili mjini bukoba na kuanza safari zake za Bukoba –Mwanza.

Na Allawi Kaboyo Bukoba.Wananchi mkoani Kagera na maeneo jirani watakiwa kujiandaa na fursa mbalimbali zitakazojitokeza baada ya meli ya NEW MV VICTORIA HAPA KAZI TU kuanza safari zake za Bukoba-Mwanaza ikiwa ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 98%...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani