Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 22 ya wageni kumiliki sasa zamu ya wazawa

Tanzanite ni madini adimu yanayochimbwa eneo moja tu duniani ambalo ni Mererani katika Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mengi atetea wazawa kumiliki gesi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amesema hoja kwamba Watanzania hawana mtaji wa kumiliki vitalu vya gesi si sahihi kwa kuwa gesi yenyewe ni mtaji wa kutosha kwa Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

MKAMA: Serikali ijenge mazingira kwa wazawa kumiliki DART

>Wakati utawala wa kibaguzi wa Afrika Kusini ulipofikia ukomo na mwaka 1994, uongozi mpya wa Chama cha ANC chini ya  Mzee Nelson Mandela, ulikumbana na changamoto kubwa ya kuwawezesha kiuchumi Waafrika walio wengi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wazawa hoi, wageni watesa

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikizidi kushika kasi nchini, nyota wa kigeni waliosajiliwa na timu za Simba, Yanga na Azam wamewafunika wazawa baada ya kutoa mchango wa zaidi ya 80% kwenye mabao yaliyofungwa na timu hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Derefa: Uchumi umekuwa wa kusaidia wageni badala ya wazawa

Tangu Tanzania ipate uhuru, Jimbo la Shinyanga Mjini limeongozwa na wabunge tisa ambao ni John Rupia, Bakari Msonde, Anna Tito Kachima, Ntemi Nyanda, Haninghton Mfaume, Paul Makune, Leonard Derefa, Dk Charles Mlingwa na sasa Stephen Masele.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sasa ni zamu ya Kiiza

VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC, jana walizidi kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo, baada ya kuwalazimisha mabingwa watetezi Yanga sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

SASA NI ZAMU YA KINONDONI CUP.

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda akionesha sehemu ya vifaa vya michezo atavyogawa kesho Jumamosi kwa timu zitazojitokeza Leaders Club jijini Dar es salaam kushiriki ligi ya Kinondoni atayoizindua kukuza vipaji.MH: PAUL MAKONDA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, anawaomba Wanakinondoni wote na wakazi wa DSM katika kuandaa maandalizi ya Team za Wilaya ya Kinondoni zitakazo kuwa na wachezaji watakao lipwa mshahara; katika:

1.Mpira wa miguu
(Football).
2.Netball.
3.Basketball.

Kushirikiana nae...

 

10 years ago

Michuzi

SASA NI ZAMU YA WAKULIMA NA NMB

Benki ya NMB ndio benki pekee yenye matawi katika kila wilaya hapa nchini.Hivyo basi ndio benki pekee inayowajali wateja wake kwa kua karibu zaidi wakati wote.NMB imekua ikiandaa semina elekezi kwa wateja wake .Sasa ilikua zamu ya wakulima na wadau wote wa kilimo cha kahawa wameweza kupata fursa ya kujua huduma mbali mbali zitolewazo na NMB kwa ajili ya wakulima na wadau wote wa hudiuma za kibenki Hivi karibuni NMB iliandaa semina kwa ajili ya wadau wa biashara za Kilimo ambayo imeendeshwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Messi: Sasa zamu yangu

Ndoto ya mshambuliaji Lionel Messi ni kuipa ubingwa wa dunia Argentina katika fainali zijazo za Kombe la Dunia nchini Brazil.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani