SASA NI ZAMU YA KINONDONI CUP.
![](http://2.bp.blogspot.com/-5AxoDGNuQ_w/VYRL-WwkpkI/AAAAAAAHhtM/VE_-PMQsI4M/s72-c/unnamed%2B%252873%2529.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda akionesha sehemu ya vifaa vya michezo atavyogawa kesho Jumamosi kwa timu zitazojitokeza Leaders Club jijini Dar es salaam kushiriki ligi ya Kinondoni atayoizindua kukuza vipaji.
MH: PAUL MAKONDA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, anawaomba Wanakinondoni wote na wakazi wa DSM katika kuandaa maandalizi ya Team za Wilaya ya Kinondoni zitakazo kuwa na wachezaji watakao lipwa mshahara; katika:
1.Mpira wa miguu
(Football).
2.Netball.
3.Basketball.
Kushirikiana nae...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Sasa ni zamu ya Kiiza
VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC, jana walizidi kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo, baada ya kuwalazimisha mabingwa watetezi Yanga sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa...
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Messi: Sasa zamu yangu
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qhA_2OBRe18/VP1Jcr3sCsI/AAAAAAAHIz8/V4Kyo3GTiuU/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
SASA NI ZAMU YA WAKULIMA NA NMB
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BC9rzQI9RUU/U09bOCi2ATI/AAAAAAAAXMM/RCPt6F9W3LE/s72-c/MBEYA.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-xYTFZ8CWDbA/Ve09FOMbtjI/AAAAAAAAD-4/1v9a4f1WNPk/s72-c/image.jpg)
UKAWA SASA NI ZAMU YENU KULIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-xYTFZ8CWDbA/Ve09FOMbtjI/AAAAAAAAD-4/1v9a4f1WNPk/s640/image.jpg)
Na Happiness KatabaziKWA Takribani Miezi miwili sasa vyama vinavyounda UKAWA vimekuwa vikipata dhoruba Kali kutoka kwa baadhi ya waliokuwa Viongozi wa juu wa UKAWA kuamua kuachia madaraka vyama vyao Vya siasa walivyokuwa wakivitumikia sambamba na wanachama wao.Tumewashuhudia waliokuwa Majemedali wa UKAWA ambaye aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba kuamua ukajiudhuru wadhifa wake huo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Waziri Mkuu aliyejidhuru Edward...
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Miaka 22 ya wageni kumiliki sasa zamu ya wazawa
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
Sasa ni Zamu ya Yusup Mlela na Esha Buheti Kutua Marekani Kufanya Project
“Nawatakia safari njema ndugu zangu mungu awatangulie kwa kila jambo najua mungu ndio anayepanga kuna mengi ila hili limeanza kwenu na milango mnaifungua wazi msiwe kama wangine wenye kucheka machoni uku moyo umekunjama. Hahahahaha.alianza Wastara . Mona . Sasa zamu yenu Mlela na Esha mkatuwakilishe vyema . USA . CHAO pamoja wasaniii wadogo haoooooooooooooooooo . Mmmmmmmmmmmmmm majuuuuuuuu”- Steven Mengere 'Steve Nyerere’ aliekuwa raisi wa Bongo Movie Unity alibandika andiko hili mtandaoni...