Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA MIAKA MITATU SASA WANANCHI KAGERA KUIONA MELI, KUTIA NANGA JUNI 28, 2020

Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akizungumza na waendesha bodaboda wa Manispaa ya Bukoba akiwaeleza mambo mbalimbali ikiwemo kuchangamkia fursa meli itakapowasili mjini bukoba na kuanza safari zake za Bukoba –Mwanza.

Na Allawi Kaboyo Bukoba.Wananchi mkoani Kagera na maeneo jirani watakiwa kujiandaa na fursa mbalimbali zitakazojitokeza baada ya meli ya NEW MV VICTORIA HAPA KAZI TU kuanza safari zake za Bukoba-Mwanaza ikiwa ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 98%...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Meli za Jeshi la Uturuki Nchini kutia nanga Dar es salaam

Na  Pascal Mayalla   Ziara ya Meli za Jeshi la Uturuki Nchini Tanzania. Meli Nne za Kijeshi za Uturuki kwa jina la Barbaros Turkish Maritime Task Group (TMTG) zinatarajiwa kutia nanga kwa wakati mmoja katika Bandari ya Dar es Salaam kwa ziara ya kijeshi ya siku 4 ambao itahusisha maonyesho ya zana za kijeshi, mazoezi ya pamoja na jeshi la wanamaji la Tanzania, huduma za kijamii na ushirikiani wa kijeshi baina ya Uturuki na Tanzania.  Hayo yamebainishwa jiji Dar es Salaam na Balozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MELI YA MV MAENDELEO YATIA NANGA SALAMA BANDARI YA UNGUJA BAADA YA KUKWAMA KWA MUDA KISIWANI PEMBA

Meli ya Mv Maendeleo iyokuwa iliyokuwa inataka kwenda Unguja ikitokea Pemba  imekwama kwa muda wa masaa kadha katika eneo la bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba kutokana na kukwama katika fungu la mchanga na kushindwa kuondoka.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, kufuatai tukio la meli ya Mv Maendeleo kukwama katika fungu la mchanga na kushindwa kuondoka asubuhi hadi jioni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Meli kubwa zaidi duniani yatia nanga UK

Meli kubwa duniani ''The Globe'' imetia nanga Uingereza ikiwa katika safari maeneo mbalimbali duniani

 

5 years ago

CCM Blog

MELI YA UTALII HATIMAYE YATIA NANGA CAMBODIA

Baada ya wiki zilizojaa mikosi the Westerdam iliruhusiwa kutia nnaga katika bandari ya Cambodia
Meli moja ya kitalii ambayo ilikuwa imekwama isijue pa kwenda baharini, kutokana na wasiwasi wa bandari kuhusu uwezekano wa kubeba abiria walioambukizwa virusi vya corona hatimaye imetia nanga nchini Cambodia.
Meli hiyo kwa jina MS Westerdam ilizuiwa kutia ngana katika bandari tano barani Asia. Meli nyengine ya kitalii iliotengwa nchini Japan ina zaidi ya maambukizi 200.

Lakini Westerdam ilio na...

 

10 years ago

Mwananchi

Papa Francis: Nitakufa baada ya miaka miwili au mitatu

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa miaka miwili au mitatu ya kuishi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Miaka mitatu baada ya kifo cha Kanumba: Bongo movies ‘Will never be the same again’

Wakati mwingine kuna maswali magumu sana kuweza kuyajibu. Kwa mfano kwanini watu muhimu na wazuri hufa mapema? Kwanini watu wenye umuhimu mkubwa katika jamii huondoka ghafla tena katika wakati ambapo wapo kwenye kilele cha mafanikio yao?

Chukulia mfano Aaliyah, Tupac, Notorious BIG au Stephen Kanumba! Hili ni swali gumu sana kulijibu na hivyo mambo mengine ni ya kumwachia Mungu.

Leo ni April 7, miaka mitatu tangu kifo cha muigizaji mahiri, aliyependwa, aliyekuwa na kipaji cha hali ya juu,...

 

10 years ago

Bongo5

Papa Francis asema atakufa baada ya miaka miwili au mitatu

Utamaduni wa kuachia madaraka ndani ya kanisa hilo linalotajwa kuwa na waumini wengi duniani uliasisiwa upya mwaka jana na mtangulizi wake, Papa Benedict XVI aliyeng’atuka kutokana na matatizo ya kiafya. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa […]

 

9 years ago

Raia Mwema

Meli ya Rais Magufuli yang’oa nanga; tufani, nyangumi wamngojea

MASIKINI Rais, John Magufuli, anachukua uongozi wa nchi katikati ya bahari iliyochafuka kwa tufan

Joseph Mihangwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: 'Mkosi' meli ya utalii iliokataliwa na bandari tano hatimaye yatia nanga

Meli moja ya kitalii ambayo ilikuwa imekwama isijue pa kwenda baharini, kutokana na wasiwasi wa uwezekano wa kubeba abiria walioambukizwa virusi vya corona hatimaye imetia nanga nchini Cambodia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani