Meli za Jeshi la Uturuki Nchini kutia nanga Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-uvEzzlZH0-Q/U4HkbhYg4ZI/AAAAAAAFk6g/MVdpqO6CHyE/s72-c/unnamed+(21).jpg)
Na Pascal Mayalla Ziara ya Meli za Jeshi la Uturuki Nchini Tanzania. Meli Nne za Kijeshi za Uturuki kwa jina la Barbaros Turkish Maritime Task Group (TMTG) zinatarajiwa kutia nanga kwa wakati mmoja katika Bandari ya Dar es Salaam kwa ziara ya kijeshi ya siku 4 ambao itahusisha maonyesho ya zana za kijeshi, mazoezi ya pamoja na jeshi la wanamaji la Tanzania, huduma za kijamii na ushirikiani wa kijeshi baina ya Uturuki na Tanzania. Hayo yamebainishwa jiji Dar es Salaam na Balozi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-BRhM5uQmTM0/XvXjbPEJPfI/AAAAAAACOhQ/3ck599CSX3M4jNGI4l30L17wuSVbi15EgCLcBGAsYHQ/s72-c/22.jpg)
BAADA YA MIAKA MITATU SASA WANANCHI KAGERA KUIONA MELI, KUTIA NANGA JUNI 28, 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-BRhM5uQmTM0/XvXjbPEJPfI/AAAAAAACOhQ/3ck599CSX3M4jNGI4l30L17wuSVbi15EgCLcBGAsYHQ/s400/22.jpg)
Na Allawi Kaboyo Bukoba.Wananchi mkoani Kagera na maeneo jirani watakiwa kujiandaa na fursa mbalimbali zitakazojitokeza baada ya meli ya NEW MV VICTORIA HAPA KAZI TU kuanza safari zake za Bukoba-Mwanaza ikiwa ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 98%...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Meli Jeshi la Uturuki ziarani
MELI nne za kijeshi za Uturuki ‘Barbaros Turkish Maritime Task Group’ (TMTG), zinatarajiwa kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam kwa ziara ya kijeshi ya siku nne ambayo itahusisha...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VwR_twiLFf4/VNnAlj8TOJI/AAAAAAACzqg/ozv81GYnNas/s72-c/Mv%2BMSC%2BMartina4.jpg)
Meli Kubwa yenye Urefu wa Mita 244 yatia nanga Bandari ya Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-VwR_twiLFf4/VNnAlj8TOJI/AAAAAAACzqg/ozv81GYnNas/s1600/Mv%2BMSC%2BMartina4.jpg)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka, Mhandisi Madeni Kipande amesema, mafanikio hayo ni juhudi zilizofanywa na Mamlaka kuzitangaza bandari zake pamoja na uboreshwaji wa huduma.
“Ujio huu wa meli kubwa za mizigo kama hizi ni faraja kubwa sana kwetu kwani pia utaongeza uingiaji wa mizigo kwa wingi na hatimaye kuleta unafuu kwa...
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Meli kubwa zaidi duniani yatia nanga UK
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-OhhvoTdW6Jc/XkT3KWU7YTI/AAAAAAAAuy0/_s4rkOmuCrkpqBiMPmIZBE1qufRKzsyDgCLcBGAsYHQ/s72-c/_110885558_04ad9763-9534-47e2-bb5b-17839a89dfd5.jpg)
MELI YA UTALII HATIMAYE YATIA NANGA CAMBODIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-OhhvoTdW6Jc/XkT3KWU7YTI/AAAAAAAAuy0/_s4rkOmuCrkpqBiMPmIZBE1qufRKzsyDgCLcBGAsYHQ/s640/_110885558_04ad9763-9534-47e2-bb5b-17839a89dfd5.jpg)
Meli moja ya kitalii ambayo ilikuwa imekwama isijue pa kwenda baharini, kutokana na wasiwasi wa bandari kuhusu uwezekano wa kubeba abiria walioambukizwa virusi vya corona hatimaye imetia nanga nchini Cambodia.
Meli hiyo kwa jina MS Westerdam ilizuiwa kutia ngana katika bandari tano barani Asia. Meli nyengine ya kitalii iliotengwa nchini Japan ina zaidi ya maambukizi 200.
Lakini Westerdam ilio na...
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Meli ya Rais Magufuli yang’oa nanga; tufani, nyangumi wamngojea
MASIKINI Rais, John Magufuli, anachukua uongozi wa nchi katikati ya bahari iliyochafuka kwa tufan
Joseph Mihangwa
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bk87_00qIvE/Vd--4PTw3UI/AAAAAAAD4zs/SrOV2DAyWz8/s72-c/k1.jpg)
RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-bk87_00qIvE/Vd--4PTw3UI/AAAAAAAD4zs/SrOV2DAyWz8/s640/k1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5yqHMsnJbjg/Vd--4-cwD2I/AAAAAAAD4zw/EOJyhUiPCkk/s640/k2.jpg)
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: 'Mkosi' meli ya utalii iliokataliwa na bandari tano hatimaye yatia nanga
10 years ago
VijimamboMELI YA MV MAENDELEO YATIA NANGA SALAMA BANDARI YA UNGUJA BAADA YA KUKWAMA KWA MUDA KISIWANI PEMBA