Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 41 Sasa Hawataki Kuhamia Dodoma

PAMOJA na kujinasibu kwamba Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Serikali ya Tanzania, lakini inaonekana dhana hiyo ni ya kufikirika ambayo imejawa na matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi kwa miaka 39 sasa. Mwandishi Wetu DANIEL MBEGA anachambua kwa kina suala hilo na nini Watanzania wategemee. “MAJENGO yanazidi kufumuka kama uyoga, lakini viongozi wa serikali wanapenda anasa na kuamua kubaki Dar es Salaam upepo wa Pwani unakovuma, hawataki kuja kula vumbi la huku Dodoma,” Elibariki Njau (64)...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mabadiliko sasa kuhamia CCM, bungeni

>Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vitalazimika kufanya mabadiliko katika safu zake za uongozi kutokana na athari zilizosababishwa na mabadiliko yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika Baraza la Mawaziri.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI SASA KUHAMIA TANGA

 Mkurugenzi wa Angels Moments inayoendesha Kampeni ya Mwanamke na Uchumi, Naima Malima akitoa hotuba ya ufunguzi wa kampeni hiyo iliyofanyika mkoani mwanza hivi karibuni. Kampeni hiyo yenye lengo la kuwawezesha kiuchumi wanawake wajasiriamali ambapo kampeni hiyo itafanyika mkoani Tanga Mwezi Oktoba. Picha na Angels Moments. Mshairi maarufu bibi sauda akitoa burudani ya mashairi yake adhimu kwa lugha ya kufurahisha na burudani kwa wanawake wajasiliamali katika kampeni ya mwanamke na uchumi...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuhamia Dodoma kesho

Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahya Khamis HamadUONGOZI wa juu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kesho utahamia katika Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, kushuhudia hotuba ya kihistoria itakayotolewa na Rais Jakaya Kikwete mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hakuna mazingira yanayoiwezesha Serikali kuhamia Dodoma’

Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) iliundwa kwa tamko la Serikali la mwaka 1973, lengo kubwa likiwa kupanga mji, kuishauri na kuisaidia Serikali kuhamia Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuhamia Dodoma bado kipaumbele cha Serikali?

Mjadala kuhusu Serikali kuhamia Dodoma juzi uliibua mapya bungeni kwa baadhi ya wabunge kusema hicho siyo tena kipaumbele cha Taifa, huku wengine wakisema azima ya Serikali kuhamia Dodoma lazima ibaki palepale.

 

9 years ago

Bongo5

Richard wa Big Brother aeleza sababu za kuhamia Canada anakoishi sasa

Richard-1

Siku chache zilizopita mshindi wa Big Brother Africa (2007) Richard Bezuidenhout, alishare picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa location na kuandika kuwa anarejea tena kwenye ulimwengu wa filamu baada ya kimya kirefu.

Richard-1

Richard ambaye kwa sasa anaishi na familia yake nchini Canada, ametoa sababu za kuhama Tanzania na kukaa kimya muda mrefu bila kutoa filamu yoyote.

“Unajua nilivyoshinda Big Brother nikapiga movie kadhaa, nikaenda Nigeria nikapiga movie, nijaka Tanzania nikapiga movie...

 

11 years ago

Mwananchi

Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata

Wasemaji wamesema, wadadavuaji wamedadavua, wapangaji wamepanga na bado jambo hili limeendelea kuwa hadithi. Serikali ya Tanzania iliamua kubadilisha makao makuu yake tangu mwaka 1976, sasa ni miaka 38, uamuzi huo bado haujatekelezwa.

 

11 years ago

GPL

MKOA WA DODOMA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA‏


 
 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbali kwa ajili ya wasomaji , pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo Ndg. Judith Lugongo, ukaguzi huo ulifanyika mapema Leo hii wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba mkoa wa Dodoma.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani