Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ONYESHO LA MIAKA 16 YA LUIZER MBUTU NDANI YA TWANGA PEPETA SASA NI JANUARI 31

Mwanadada Luizer Mbutu, mmoja wa waimbaji mahiri wa muziki wa dansi, sasa anatarajiwa kuongoza onyesho kubwa la Twanga Pepeta la kusherehekea miaka yake 16 mfululizo ya kuitumikia bendi hiyo, Jumamosi ya Januari 31.Hii ni baada ya onyesho hilo kuahirishwa mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo vya wasanii waliotarajiwa kushiriki tukio hilo la kihistoria. Mara ya mwisho onyesho hilo lilipangwa kufanyika Disemba 20.Kama ilivyopangwa hapo awali, katika onyesho hilo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ONYESHO LA KUMPONGEZA LUIZA MBUTU KUTIMIZA MIAKA 16 NDANI YA TWANGA PEPETA LAFANA MANGO GARDEN JIJINI DAR

Rapa wa bendi hiyo, Frank Kabatano akifanya vitu vyake stejini. Waziri akimmwagia sifa Luiza Mbutu. Baadhi ya wageni waalikwa wakiserebuka.…

 

10 years ago

Michuzi

Luizer Mbutu kuimba nyimbo zote alizoshiri katika bendi ya Twanga Pepeta

MWANAMUZIKI mkongwe pia Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amesema katika kupamba usiku wa Luizer Mbutu ikiwa ni maadhimisho ya miaka 16 ndani ya bendi bila kutoka ataimba nyimbo zote za bendi ambazo alishiriki kwa namna moja ama nyingine.
Akizungumza na Ripota wetu jana Mbutu alizitaja baadhi ya nyimbo hizo kuwa ni ‘Kisa Cha Mpemba’, ‘Jirani’, ‘Fainali Uzeeni’, ‘Mtu Pesa’, ‘Safari 2005’, ‘Mwana Dar es Salaam’ , ‘Kuolewa’ pia kutakuwa na wimbo maalum siku hiyo.
Mbutu...

 

10 years ago

Mwananchi

Twanga Pepeta: Miaka 20 ya uhai wake ikikuza vipaji, kuibua vipya

Kuzaliwa na kufa siyo tukio linalojitokeza katika maisha ya binadamu pekee bali hata kwa makundi mbalimbali ya kijamii hata burudani.

 

10 years ago

Michuzi

Maandalizi ya USIKU WA LUIZER MBUTU utaofanyika desemba 20, 2014 mango garden

Luiza Nyoni-Mbutu akipozi  na mumewe Farijala Mbutu ambaye ni mtoto wa mwanamuziki wa zamani wa Orchestra Makassy Marehemu Mzee Simaro Aimala Mbutu. Farijala  pia ni mwanamuziki hodari akiwa na Kilimanjaro Connection ambayo inapiga muziki ndani na nje ya nchi.KIONGOZI wa bendi  mpya  ya Utalii Jazz Band ambaye pia mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi nchini ‘Komandoo Hamza kalala ama unaweza kumwita Mzee wa Madongo’ amethibitisha kushiriki katika onesho maalum  la miaka 16  ya mwanamuziki...

 

10 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Msafiri Diouf 'Lewandowsky' wa Twanga Pepeta akifanya vitu vyake jukwaani kwenye uzinduzi wa Yamoto Band ndani ya Dar Live usiku huu.…

 

11 years ago

GPL

LUIZA MBUTU AFIKIRIA KUIKACHA TWANGA

MUIMBAJI mahiri na Kiongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu amesema kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika dunia ya sasa, anafikiria kuachana na bendi hiyo na kuwa mama wa nyumbani tu. Mwimbaji mahiri na Kiongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, Luiza alisema imefika mahali anawaza kuwa mama wa nyumbani...

 

9 years ago

Global Publishers

Luiza Mbutu Mkongwe anayezeekea Twanga

LuizaMbutuLuiza Nyoni Mbutu

Stori: MAYASA MARIWATA

LUIZA Nyoni Mbutu ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi, ambaye haikuwa kazi rahisi mpaka kufika hapo alipo kutokana na changamoto mbalimbali alizopitia.

AMEANZIA MBALI
Akizunguzia safari yake ya kimuziki, Luiza ambaye ni mzaliwa wa Jiji la Dar, alisema alijikita rasmi kwenye shughuli hizo mnamo mwaka 1996 katika Bendi ya Air Jaz ambayo ni ya Jeshi la Anga kwa ushawishi mkubwa wa dada ambaye naye alikuwa mwanamuziki, Modesta Nyoni yeye...

 

10 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta yapania Valentine Day

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kesho itafanya onyesho maalum ya kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wao wa nyunmbi Mango Garden, Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani