Maandalizi ya USIKU WA LUIZER MBUTU utaofanyika desemba 20, 2014 mango garden
![](http://2.bp.blogspot.com/-KFYneZmARMg/VIs1dkQi2vI/AAAAAAAG2x8/jaJ4p0EOb50/s72-c/luiza-mbutubc.jpg)
Luiza Nyoni-Mbutu akipozi na mumewe Farijala Mbutu ambaye ni mtoto wa mwanamuziki wa zamani wa Orchestra Makassy Marehemu Mzee Simaro Aimala Mbutu. Farijala pia ni mwanamuziki hodari akiwa na Kilimanjaro Connection ambayo inapiga muziki ndani na nje ya nchi.KIONGOZI wa bendi mpya ya Utalii Jazz Band ambaye pia mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi nchini ‘Komandoo Hamza kalala ama unaweza kumwita Mzee wa Madongo’ amethibitisha kushiriki katika onesho maalum la miaka 16 ya mwanamuziki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0PaAyo4W*ZpF4kec7xVd2L7H1hp1-exOCtZojfXG*XZvwka5H0wHwTNZndhCm2jl6ehgKVj6J9QSGei2vWR-X1GCyT3Qudy/TWANGAPEPETA5.jpg?width=650)
ONYESHO LA KUMPONGEZA LUIZA MBUTU KUTIMIZA MIAKA 16 NDANI YA TWANGA PEPETA LAFANA MANGO GARDEN JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-B5g3xLHiRLA/VlbJnex6ppI/AAAAAAAIIbY/6BDiI-NjjmM/s72-c/kasemaje-com-isha-mashauzi-ndani-ya-danga-chee-kupitia-channel-ten_230972fdf3dcfc6d8e94f51a3f8584e213c4a307.jpg)
MASHAUZI CLASSIC KUZINDUA ALBAM MPYA LEO USIKU MANGO GARDEN
![](http://2.bp.blogspot.com/-B5g3xLHiRLA/VlbJnex6ppI/AAAAAAAIIbY/6BDiI-NjjmM/s320/kasemaje-com-isha-mashauzi-ndani-ya-danga-chee-kupitia-channel-ten_230972fdf3dcfc6d8e94f51a3f8584e213c4a307.jpg)
Uzinduzi wa albam hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa, utasindikizwa na kundi kongwe la taarab - East African Melody. Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi ameiambia JAMBO LEO kuwa albam ya “Sura Surambi” inaundwa na nyimbo sita kali.
Isha amezitaja nyimbo hizo kuwa ni pamoja na “Sura Surambi” ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RCTzb8lBGnM/VWan7DSc7ZI/AAAAAAAHaQ4/NZqGy2v65Co/s72-c/mashauzi%2Byamoto.jpg)
MANGO GARDEN NYEUPE WIKI HII, BURUDANI NI MOJA TU …YAMOTO BAND NA MASHAUZI LEO USIKU
![](http://4.bp.blogspot.com/-RCTzb8lBGnM/VWan7DSc7ZI/AAAAAAAHaQ4/NZqGy2v65Co/s320/mashauzi%2Byamoto.jpg)
Kesho Ijumaa Malaika Band ambao hupiga hapo Mango kila Ijumaa, watakuwa Arusha mjini. Twanga Pepeta ambao hupiga Mango Garden kila Jumamosi, Jumamosi hii watakuwa Wenge Garden Ukonga.
Bendi ya FM Academia ambayo huibuka Mango Garden na kufukia viraka vya bendi...
10 years ago
Vijimambo30 Dec
ONYESHO LA MIAKA 16 YA LUIZER MBUTU NDANI YA TWANGA PEPETA SASA NI JANUARI 31
![](http://www.saluti5.com/media/k2/items/cache/410c9434c4dba55fe75434212a73bf09_L.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UO9234PB6mk/VI_2iKARSoI/AAAAAAAG3f0/-8WpXy3mC2k/s72-c/10846465_820989117943210_5507661516903147093_n.jpg)
Luizer Mbutu kuimba nyimbo zote alizoshiri katika bendi ya Twanga Pepeta
![](http://2.bp.blogspot.com/-UO9234PB6mk/VI_2iKARSoI/AAAAAAAG3f0/-8WpXy3mC2k/s1600/10846465_820989117943210_5507661516903147093_n.jpg)
Akizungumza na Ripota wetu jana Mbutu alizitaja baadhi ya nyimbo hizo kuwa ni ‘Kisa Cha Mpemba’, ‘Jirani’, ‘Fainali Uzeeni’, ‘Mtu Pesa’, ‘Safari 2005’, ‘Mwana Dar es Salaam’ , ‘Kuolewa’ pia kutakuwa na wimbo maalum siku hiyo.
Mbutu...
11 years ago
GPLMASHAUZI CLASSIC YAPAGAWISHA MASHABIKI NDANI YA MANGO GARDEN
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QepgJAF9fB0/UxcnN0DsexI/AAAAAAAFROY/z2vhYGPgPQA/s72-c/download.jpg)
Mnuso MAALUM WA KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE MANGO GARDEN Jumamosi
![](http://1.bp.blogspot.com/-QepgJAF9fB0/UxcnN0DsexI/AAAAAAAFROY/z2vhYGPgPQA/s1600/download.jpg)
-Katika kusherehekea siku ya Wanawake Jumamosi hii tarehe 08-03-2014 Bendi yako PENDWA ya Twanga Pepeta ikishirikiana na Mdau wake mkubwa Christer Bella Mwingira na Rukia Saloon, kwa pamoja wameandaa bonge la Pati kwa ajili ya kusherehekea sikukuu hii. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka (pichani), mnuso huo unataraji kufanyika ndani ya Twanga City Mango Garden ambapo muonekano wake utakuwa tofauti na siku za kawaida kwa kuwa ukumbi utapambwa vilivyo.
Amesema Mavazi rasmi yatakuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfCsRFU6Ulgv4I0JIWOD4M01FVJuHZQlQdTP6Fgso1NDBKWFQjwJkxUioCvWh9ib1UPN3pg0s2qlkeIxjCI4yKLj/mashauziyamoto.jpg?width=650)
YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN LEO