Y-TONY: KUPANDA JUKWAANI NA JENEZA NI UBUNIFU TU
![](http://api.ning.com:80/files/e4QG9g3mWCczIgx75oPQMAWCkxMPLXNh06TtsaVhM3zjcxmR6wxitAQC5mgEfKnAqjn*LL0bFCOiKb-ZT7x8fjmCCUlHTNIq/ytony.jpg?width=650)
LEO hii kwenye Live Chumba cha Habari ya Global Publishers tunaye mwanamuziki Elly Michael Kilema ‘Y Tony’ kijana anayekuja kwa kasi na wimbo wake unaofahamika kama ‘masebene’ anafanya vema sana kupitia staili ya uimbaji wake. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Y-Tony akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWabunifu mbali mbali kupanda jukwaani ‘Lady in red’ Februari 14
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Tony Elumelu Foundation Welcomes 1000 Pan-African Entrepreneurs to $100M Tony Elumelu Entrepreneurship Programme Boot Camp
Founder, The Tony Elumelu Foundation and Chairman, Heirs Holdings Limited, Mr. Tony O. Elumelu, CON; CEO, Tony Elumelu Foundation, Parminder Vir; during the press conference held in Lagos on Wednesday, announcing the entrepreneurship boot camp for the 1,000 selected Tony Elumelu Entrepreneurs representing all 36 Nigerian states and 51 African countries scheduled for July 10-12 in Ota, Ogun State.
Founder, The Tony Elumelu Foundation and Chairman, Heirs Holdings Limited, Mr. Tony O....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzSlq*9Uvgu-Sbs6AT4GSqYwcv9u-wsplvn9RGqrBBLnTblaCjx9Ccv-2xeFS93f6zYlcEblSaPTHu-zLjO8XoXX/bibi.jpg)
BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9zn28TM292GiMko3lnN3fRjpZUmRzvl0iVX7vauXJDwpqTKx9siNNAmB16durDOVxCMYMbbxyyjV7-AJk9UlS-4/chuchu.jpg)
CHUCHU AZIRAI NDANI YA JENEZA
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Apokezwa jeneza lenye mzoga wa Paka
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Christos: Alikesha kuchonga jeneza la Sokoine
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJLclRY0NH2xd9E8HHz75BLOctE7eQu8NGUgjbTnFYYYzCNE9pCd60yoUFhyLz7jayYx*XP5mAWHtJUVobl9xEQt/e.jpg?width=650)
LADY JAYDEE AJICHAGULIA JENEZA LA PILI
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Hapa na Pale: Chuchu Azirai Ndani ya Jeneza!
Chuchu Hans amejikuta akizirai ndani ya jeneza wakati akiigiza sini ya kifo kwenye filamu. Chuchu alikumbwa na hali hiyo hivi karibuni akiwa ‘lokesheni’ ya kuigizia filamu hiyo maeneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam ambapo sanjari na yeye, msanii mwingine aliyecheza nafasi ya mwanakwaya naye alipoteza fahamu wakati kipande hicho kikirekodiwa.
Chanzo kimoja kutoka ndani ya kundi la wasanii waliokuwa wakiigiza filamu kililiambia Gazeti la Amani kuwa, Chuchu alikumbwa na hali hiyo...