Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunifu mbali mbali kupanda jukwaani ‘Lady in red’ Februari 14

Na Andrew Chale WABUNIFU mbali mbali watakaopamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, tayari majina yao yamewekwa hadharani. Onyesho la mwaka huu linatarajia kufanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam, Februari 14, huku asilimia ya mapato ya fedha hizo zinatarajia kusaidia wathirika wa dawa za kulevya wa kituo cha Kikale Kilichopo Mkoani Pwani.   Akiongea na wandishi wa habari  leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WABUNIFU ‘LADY IN RED’ FEBRUARI 14 HADHARANI

..Wamo  magwiji: Ally Remutulla, Mustapha Hassanal, Khadija Mwanamboka, Martin Kadinda
..Chipukizi wamo  Faustin Simon, Water Edward,Willex Willibard,  Jackson, Alabama King Na Andrew Chale
WABUNIFU mbali mbali watakaopamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, tayari majina yao yamewekwa hadharani. Onyesho la mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI MBALI MBALI ZA BUNGE WAENDELEA NA VIKAO MJINI DODOMA

Mjumbe wa Kamati namba kumi na mbili ya Bunge Maalum la Katiba Goodluck Ole - Medeye akichangia jana mjini Dodoma wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoitembelea Kamati hiyo kujionea kazi inayoendelea ya uchambuzi wa sura ya kwanza na Sita katika Rasimu ya Katiba mpya. Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba, DKT Sira Ubwa Mamboya(kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta(kulia) alipoitembelea Kamati...

 

10 years ago

Michuzi

Taswira mbali mbali za Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (AGF)

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (wa tatu kutoka kushoto) akizindua Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha yaliyofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 19 hadi 20 Novemba 2014. Wanaoshuhudia uzinduzi huo ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja (kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA) Sammy Mollel (kulia). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (kushoto) akihutubia wadau...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge...

 

10 years ago

GPL

TUNZO KWA WANAMICHEZO BORA WA MWAKA MICHEZO MBALI MBALI ZATOLEWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Waziri wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr. Finella Mukangara (katikati) Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Abdilah Jihadi Hassan (kulia) wakiwa na Mwandishi wa Habari Salim Said Salim na Mama Fatma Karume wakiwa katika Hafla ya utoaji wa tunzo kwa wanamichezo bora kwa mwaka 2013/2014 katika ukumbi wa  Diamond Jubilee...

 

10 years ago

Michuzi

taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv


Kwa taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na viongozi mbali mbali ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akifuatana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed...

 

11 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALI MBALI KUELEKEA US-AFRICA LEADERS SUMMIT AGOSTI 5-6 WASHINGTON DC

Pichani Mhe. John Haule akisalimiana na Balozi Teitelbaum katika Wizara ya Nje ya Marekani. Kulia ni Mhe.Liberata Mulamula,Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mhe. John Haule(katikati) katika picha ya pamoja na Mhe.Balozi Donald Teitelbaum(kushoto) na Mhe.Balozi Mulamula (kulia) Mhe. Balozi Liberata Mulamula baada ya kumaliza mazungumzo yake na Bw. Michael Morrow, Mkurugezi wa Idara ya Afrika Mashariki baada ya mazungumzo yao katika Wizara ya nje Marekani. Mhe. Balozi Liberata Mulamula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani