Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WA HAISI IGOMA BUHONGWA WAMBANA KIONGOZI WAO KUHUSU MGOMO

Maderava wakimbana  mwenyikiti wao aliefahamika kwa jina la Dede. Maderava wakiendelea na maongezi na mwenyikiti wao aliefahamika kwa jina la Dede. Baadhi ya Madereva wa Hai wa Gari za Igoma Buhongwa wakimbana mwenyekiti wa madereva Mr. Dede, katika kituo cha Haisi Igoma, kuhusu mgomo unaoendelea leo Dar es salaam na mikoa mingine, Madereva hao wanadai kwanini wao hawajagoma wakati mgomo unahusu nchi nzima, Mwenyekiti huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wamachinga Igoma, Buhongwa kuondolewa

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameagiza viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana na Mkuu wa Kituo cha Polisi mkoani hapa, kuhakikisha wafanyabiashara ndogondogo maarufu Wamachinga wanaondolewa haraka kupisha ukarabati wa barabara.

 

10 years ago

Michuzi

Madereva waendelea na Mgomo wao leo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa katika majadiliano na Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya namna ya kuumaliza mgomo wa Madereva wa Mabasi katika stendi kuu ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo. Hapo wanasubiriwa viongozi wa Madereva hao.Hali ilivyo Stendi Kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar hivi sasa. hakuna basi lililoweza kuondoka siku ya leo.
Kikao cha nje kikiendelea.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama...

 

9 years ago

Vijimambo

NAIBU KATIBU WA MADEREVA AZUNGUMZIA MGOMO WAO UNAOPANGWA KUANZA KESHO

Leo  Agosti 16 mwaka 2015 kulikuwa na mkutano wa madereva wa mabasi ulifanyika katika ukumbi wa Kimara resort jijini Dar es salaam na kuahamua haya yafuatayo;Kwa mujibu wa Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh aliwaeleza madereva hatima ya kamati ambayo imeundwa na Waziri Mkuu kusuruhisha kero za Madereva  hapa nchini.

Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh akizungumza na madereva amesema "Tarehe 13 /8 tulipo kwenda baada ya wao kusikia kuna tishio la mgomo,tulizani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchi washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!

maderw

 

Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye  jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).

Na Andrew Chale, Modewji blog

Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchini, washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!

maderw

Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye  jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).

Na Andrew Chale, Modewji blog

Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Abiria wataabika na mgomo wa madereva

ABIRIA waliolazimika kuanza safari juzi mchana badala ya alfajiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani, hasa wa mikoa ya mbali wamejikuta wakikabiliana na adha na taabu ya kuchelewa kutoka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, kutokana na mgomo wa madereva.

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR

Mabasi yaendayo mikoani yakiwa Stendi ya Ubungo yamepaki. Wasafiri wakiwa hawajui hatma ya safari yao eneo la Ubungo. Hali halisi ya Ubungo ilivyokuwa asubuhi leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani