Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM FC YAICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSIN

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocc akimtoka beki wa Malaika ya Sudan katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0. (Picha na Francis Dande)mchezji wa Azam FC, Shah Farid Mussa akimtoka beki wa Malaika, David Stephen. Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwatoka wachezaji wa timu ya Malaika katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
 Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwania...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

AZAM FC YAICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSINI

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocc akimtoka beki wa Malaika ya Sudan katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0. (Picha na Francis Dande)mchezji wa Azam FC, Shah Farid Mussa akimtoka beki wa Malaika, David Stephen. Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwatoka wachezaji wa timu ya Malaika katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi na jeshi wapambana,Sudan Kusin

Kikosi cha waasi Sudan Kusini na majeshi ya serikali wamepambana kuwania kumiliki mji wa Malakal

 

9 years ago

BBCSwahili

CECAFA: Malawi yaichapa Sudan.

Michuano ya CECAFA CHALENJI CUP inaendelea kushika kasi huko Ethiopia, huku Malawi ikiifunga Sudan 2-1.

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA AZAM 3-0, YATWAA NGAO YA JAMII

KIKOSI cha Yanga SC kimetwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa timu ya Azam FC mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde. Mabao ya Yanga yamefungwa na Geilson Santos 'Jaja' dakika ya 56 na 66 huku bao la tatu likiwekwa kimiani na Simon Msuva dakika ya 87 ya mchezo. Hii ni mara ya pili Yanga kuifunga Azam katika mechi za Ngao ya Jamii baada ya msimu uliopita watoto wa Jangwani kuibuka na...

 

10 years ago

Michuzi

Azam FC yaiadhibu Mtibwa Sugar leo,yaichapa bao 5-2


Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azama Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar akimiliki mpira.
 Frank Domayo (shoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Mussa Nampaka.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo.
Kipre Tchetche akimiliki mpira.
 Frank Domayo akishangilia bao lake.

 

11 years ago

Michuzi

MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA...sings dr schaeffer as he leaves bukoba

With salams and jambo from IZAAS Medical Project in Bukoba, "All good times come to an end...It was time to leave", Said Dr Schaeffer while singing the song, MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA  The photos of Zulfa before and after shows what type of miracles Dr Schaeffer can do.   Brother Ansarali Hemraj generously donated 17 cartoons of wheel chairs, crunches elbow sticks and walkers, he even donated $ 1200 for heir ttransport from Dubai to Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam watoa dakika 30 Sudan

Kocha msaidizi wa Azam, George Nsimbe ‘Best’ amesema anatambua kuwa wenyeji wao, El- Merreikh wataanza mchezo wa leo kwa kasi ya kushambulia, hivyo kikosi chake lazima kiwe imara katika dakika 30 za mwanzo na kuhakikisha wanapata bao katika muda huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kwa Wanajeshi, Azam Sudan

Mabingwa wa Tanzania, Azam wataanza harakati zake za Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kuivaa El Merreikh ya Sudan, wakati Yanga wenyewe watakuwa na kibarua kwa BDF ya Botswana katika Kombe la Shirikisho.

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAIBAMIZA EL MERREIKH YA SUDAN 2-0 KOMBE LA MABINGWA AFRIKA

Kikosi cha El Merreikh Kikosi cha Azam leoMshambuliaji wa El Merreikh Babeker Bakri (kulia) akimtoka beki wa Azam Aggrey MorrisJohn Bocco akishangilia bao la pili la Azam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani