Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kwa Wanajeshi, Azam Sudan

Mabingwa wa Tanzania, Azam wataanza harakati zake za Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kuivaa El Merreikh ya Sudan, wakati Yanga wenyewe watakuwa na kibarua kwa BDF ya Botswana katika Kombe la Shirikisho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga, wanajeshi vitani, Azam, Mtibwa balaa

Zanzibar. Hatua ya robo fainali ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inatarajiwa kuendelea leo kwa mechi tatu kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa kwa timu sita kushuka viwanjani kwa muda tofauti kusaka tiketi ya kuingia hatua ya nusu fainali.

 

9 years ago

Habarileo

Azam teja kwa Yanga

YANGA jana ilianza vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mwaka 2015/16 baada ya kuwafunga Azam FC kwa penalti 7-6 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga, Azam tayari kwa El-Merreikh

Wawakilishi wa Tanzania Bara katika michuano ya vilabu ya shirikisho la soka barani Afrika, Yanga na Azam wamekamilisha maandalizi.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi

YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Mtanzania

Azam yaipuuza Yanga kwa Tchetche

000NA MWANDISHI WETU

MABINGWA wa Kombe la Kagame, timu ya Azam imeshtushwa na taarifa za uongozi wa Yanga kumfungia kazi mshambuliaji wake tegemeo, Kipre Tchetche, ili kumsajili kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Jumapili hii.

Uongozi wa Azam jana umesema kuwa mshambuliaji huyo bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall na ataendelea kuwepo sana ndani ya timu hiyo.

Tchetche amekuwa mwiba mkali kwa timu pinzani, mpaka sasa...

 

11 years ago

GPL

WANAJESHI 66 WAUAWA SUDAN KUSINI

Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili. Watafanyiwa mazishi ya pamoja.Wakati huohuo afisaa mmoja wa serikali amesema kuwa watu 26 wameuawa katika mapigano ya siku mbili mjini Juba.Zaidi ya watu miamoja wamejeruhiwa huku maafisa wakuu wakijaribu kudhibiti mji huo kufuatia kile ambacho...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 66 wameuawa Sudan Kusini

Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili.

 

11 years ago

GPL

Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe

Mshambiliaji  wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
NYOTA ya mshambuliaji hatari wa Simba, Amissi Tambwe inazidi kung’aa baada ya timu mbili zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, Yanga na Azam, kuulizia huduma yake kwa ajili ya msimu ujao.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wasajiliwa wanajeshi Sudan Kusini

Ripoti zinasema kuwa takriban watoto elfu kumi na moja wamesajiliwa jeshini nchini Sudan Kusini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani