Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yaipuuza Yanga kwa Tchetche

000NA MWANDISHI WETU

MABINGWA wa Kombe la Kagame, timu ya Azam imeshtushwa na taarifa za uongozi wa Yanga kumfungia kazi mshambuliaji wake tegemeo, Kipre Tchetche, ili kumsajili kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Jumapili hii.

Uongozi wa Azam jana umesema kuwa mshambuliaji huyo bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall na ataendelea kuwepo sana ndani ya timu hiyo.

Tchetche amekuwa mwiba mkali kwa timu pinzani, mpaka sasa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tchetche, 3-5-2 tishio kwa Yanga

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema hana wasiwasi na mfumo wa 3-5-2 unaotumiwa na Azam FC tayari ameshapata mbinu ya kuwamaliza katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kipre Tchetche aanza kujifua Azam FC

MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, Kipre Tchetche wa Azam FC, jana asubuhi aliibuka rasmi katika mazoezi ya Wanalambalamba hao yaliyofanyika kwenye dimba la Azam Complex, huku...

 

11 years ago

GPL

Simba yampeleka Tambwe Azam, yamuomba Tchetche

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa, iwapo Azam FC watamhitaji mshambuliaji wao Amissi Tambwe, watakubali kuwapa lakini wabadilishane na Kipre Tchetche.Azam ilionyesha nia yake ya kumtaka Tambwe kufuatia uwezo anaouonyesha na kudai kuwa ipo tayari kumsajili iwapo watakubaliana na Simba.…
...

 

11 years ago

GPL

Yanga yamkomalia Kipre Tchetche

Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche. Na Sweetbert Lukonge
LICHA ya uongozi wa Azam FC kueleza kuwa haupo tayari kumwachia mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche kwenda Yanga, uongozi wa klabu hiyo ya Jangwani haujakata tamaa na sasa unapanga mashambulizi upya ili kumsajili straika huyo. Tchetche ni mmoja wa wachezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Azam ambacho msimu uliomalizika hivi karibuni,...

 

9 years ago

Habarileo

Azam teja kwa Yanga

YANGA jana ilianza vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mwaka 2015/16 baada ya kuwafunga Azam FC kwa penalti 7-6 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi

YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kwa Wanajeshi, Azam Sudan

Mabingwa wa Tanzania, Azam wataanza harakati zake za Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kuivaa El Merreikh ya Sudan, wakati Yanga wenyewe watakuwa na kibarua kwa BDF ya Botswana katika Kombe la Shirikisho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga, Azam tayari kwa El-Merreikh

Wawakilishi wa Tanzania Bara katika michuano ya vilabu ya shirikisho la soka barani Afrika, Yanga na Azam wamekamilisha maandalizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani