Simba yampeleka Tambwe Azam, yamuomba Tchetche
![](http://api.ning.com:80/files/Q4Epy2fSOls0F58d4XzWudho5PMXo8lIzwoOjoM9oFpbEsCKIeu1mEC8*kytF0EVRh0NzNh96I6471Z1ZmntHpaNDH4qKDS0/simba2.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa, iwapo Azam FC watamhitaji mshambuliaji wao Amissi Tambwe, watakubali kuwapa lakini wabadilishane na Kipre Tchetche.Azam ilionyesha nia yake ya kumtaka Tambwe kufuatia uwezo anaouonyesha na kudai kuwa ipo tayari kumsajili iwapo watakubaliana na Simba.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HgE8wXr68il52jx2waWNxxk20dJfQ-PL5aC4TCCGLSlOJsOZYMNSKW*wsQJhoOpxS4xwl17twCBQpsc52-0iHet/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Nawasubiri Simba niende Azam FC
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Kipre Tchetche aanza kujifua Azam FC
MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, Kipre Tchetche wa Azam FC, jana asubuhi aliibuka rasmi katika mazoezi ya Wanalambalamba hao yaliyofanyika kwenye dimba la Azam Complex, huku...
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Azam yaipuuza Yanga kwa Tchetche
NA MWANDISHI WETU
MABINGWA wa Kombe la Kagame, timu ya Azam imeshtushwa na taarifa za uongozi wa Yanga kumfungia kazi mshambuliaji wake tegemeo, Kipre Tchetche, ili kumsajili kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Jumapili hii.
Uongozi wa Azam jana umesema kuwa mshambuliaji huyo bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall na ataendelea kuwepo sana ndani ya timu hiyo.
Tchetche amekuwa mwiba mkali kwa timu pinzani, mpaka sasa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNYKeAbougwWhnv0Z04rbVHUO32NtaAlOmWOsNEPvEdfHrrpgpesr08CEUcM7MqEpVrj5ut8iN7b8G846KFnJ47b/azam.jpg)
Azam: Tunamtaka Amissi Tambwe
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Amisi Tambwe hatihati kuivaa timu ya Azam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhnvBTzd6cweyohdg0E**ECL4Lse0CoHlyPEfRgbLm3xYz8AShQkJ9zamsGPjq6t*07pAVj5XTP8XYe5RR8R5SKJ/1.jpg?width=650)
Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DLo0tVWR9Kd7fDSblO3D0CTAbrZsSQGVAbYlm*qNOY6ovZF7NiCbDUU2FUm4YGvKjeswh3f-5Ftzn8Pqq-Xftdky5CvmsSHs/tambwe.jpg?width=650)
TAMBWE BYEBYE SIMBA SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZGY3biuupQ52VNuw0z0ZUG*J2sAJlObdYhrjnss03QSY4YBMVseqVlt0M94I1C6mC*xGNCTi-fSqu13asWfxMY/tambwe.jpg?width=650)
Tambwe atangaza kuondoka Simba