Tambwe atangaza kuondoka Simba
Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge STRAIKA wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe huenda akavunja mkataba wake na klabu hiyo na kuondoka zake mara baada ya kumalizika kwa msimu huu, ikiwa timu hiyo haitapata nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAMBWE BYEBYE SIMBA SC
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Mosoti azuiwa kuondoka Simba
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Tambwe hazuiliki, Simba yajikwaa
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Simba yawazuia Tambwe, Kwizera
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umewazuia nyota wake wa Kimataifa kutoka Burundi, Amis Tambwe na Pierre Kwizera kwenda kwao kujiunga na timu ya taifa inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi...
11 years ago
TheCitizen24 Apr
Tambwe signals Simba SC exit
11 years ago
TheCitizen06 Feb
Tambwe saves Simba blushes
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Tambwe avuna mamilioni Simba
10 years ago
Vijimambo02 Jan
TAMBWE AISHITAKI SIMBA FIFA
Na Wilbert MolandiMSHAMBULIAJI wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe ameiambia klabu yake ya zamani, Simba kuwa hadi kufikia leo Ijumaa akiwa hajalipwa fedha zake anazodai, basi atakwenda kushtaki kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Tambwe anaidai Simba dola 7,000 (zaidi ya Sh milioni 11) kutokana na klabu hiyo kusitisha mkataba wake hivi karibuni kiasi ambacho kinafanana na kile anachodai aliyekuwa kiungo wa timu hiyo Pierre Kwizera, ambaye...
10 years ago
GPLSimba yamfungulia mashtaka Tambwe