Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipre Tchetche aanza kujifua Azam FC

MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, Kipre Tchetche wa Azam FC, jana asubuhi aliibuka rasmi katika mazoezi ya Wanalambalamba hao yaliyofanyika kwenye dimba la Azam Complex, huku...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yamkomalia Kipre Tchetche

Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche. Na Sweetbert Lukonge
LICHA ya uongozi wa Azam FC kueleza kuwa haupo tayari kumwachia mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche kwenda Yanga, uongozi wa klabu hiyo ya Jangwani haujakata tamaa na sasa unapanga mashambulizi upya ili kumsajili straika huyo. Tchetche ni mmoja wa wachezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Azam ambacho msimu uliomalizika hivi karibuni,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha amkubali Kipre Tchetche

Kocha Msaidizi wa Ferroviario Da Beira, Victor Martin amemvulia kofia mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche kwa kusema ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa.

 

10 years ago

Vijimambo

EMERSON AANZA KUJIFUA YANGA

Kiungo Mbrazil Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar. Wengine ni Hamis Kiiza, Hussein Javu na Coutinho. (Picha na Yanga SC)
BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa 11 kutoka jijini Rio de Janeiro.

Emerson ameungana na wachezaji...

 

9 years ago

Mtanzania

Azam yaipuuza Yanga kwa Tchetche

000NA MWANDISHI WETU

MABINGWA wa Kombe la Kagame, timu ya Azam imeshtushwa na taarifa za uongozi wa Yanga kumfungia kazi mshambuliaji wake tegemeo, Kipre Tchetche, ili kumsajili kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Jumapili hii.

Uongozi wa Azam jana umesema kuwa mshambuliaji huyo bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall na ataendelea kuwepo sana ndani ya timu hiyo.

Tchetche amekuwa mwiba mkali kwa timu pinzani, mpaka sasa...

 

11 years ago

GPL

Simba yampeleka Tambwe Azam, yamuomba Tchetche

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa, iwapo Azam FC watamhitaji mshambuliaji wao Amissi Tambwe, watakubali kuwapa lakini wabadilishane na Kipre Tchetche.Azam ilionyesha nia yake ya kumtaka Tambwe kufuatia uwezo anaouonyesha na kudai kuwa ipo tayari kumsajili iwapo watakubaliana na Simba.…
...

 

10 years ago

Mwananchi

Julio: Wawa, Kipre wanajua

Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amewaponda wachezaji wa kigeni hasa wanaosajiliwa na Simba, Yanga na Azam FC kwamba hawana jipya ingawa amesifu uwezo wa Kipre Tchetche na Pasca Wawa pamoja na Emmanuel Okwi huku akitangaza kiama kwa timu hizo katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

 

10 years ago

TheCitizen

Twite, Tambwe, Kipre eye prize

Three players from Young Africans, Simba Sports Club and Azam FC are in the final list of the Tanzania Sports Writers Association (Taswa) 2013/2014 annual sports personality award on December 12 at the Diamond Jubilee VIP Hall.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani