Julio: Wawa, Kipre wanajua
Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amewaponda wachezaji wa kigeni hasa wanaosajiliwa na Simba, Yanga na Azam FC kwamba hawana jipya ingawa amesifu uwezo wa Kipre Tchetche na Pasca Wawa pamoja na Emmanuel Okwi huku akitangaza kiama kwa timu hizo katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND3B6AmQ3SNH4pHoK2TgwxZkFe1345lJ4JgipxX94CVnzlteqS1bVS8izr0NYxDaX6Svrr8BkpCo3kOSzeR9j5L8/YANGA.jpg?width=650)
Yanga yamkomalia Kipre Tchetche
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kocha amkubali Kipre Tchetche
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Kipre Tchetche aanza kujifua Azam FC
MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, Kipre Tchetche wa Azam FC, jana asubuhi aliibuka rasmi katika mazoezi ya Wanalambalamba hao yaliyofanyika kwenye dimba la Azam Complex, huku...
10 years ago
TheCitizen04 Dec
Twite, Tambwe, Kipre eye prize
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Wabunge wanajua demokrasia na ushiriki wa watu?
KILA nikifuatilia majadiliano ndani ya Bunge letu tukufu, ninakuwa na maswali mengi kichwani mwangu na swali kubwa likiwa: Je wabunge wetu wanajua maana ya demokrasia na ushiriki wa watu? Wako...
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Wengi wanajua uwepo wake, wachache wanaielewa
“HAKIMILIKI ya kimila ya ardhi? Hapana bwana mwandishi, sijasikia kitu kama hicho”.
Johnson Mbwambo