Yanga yamkomalia Kipre Tchetche
![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND3B6AmQ3SNH4pHoK2TgwxZkFe1345lJ4JgipxX94CVnzlteqS1bVS8izr0NYxDaX6Svrr8BkpCo3kOSzeR9j5L8/YANGA.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche. Na Sweetbert Lukonge LICHA ya uongozi wa Azam FC kueleza kuwa haupo tayari kumwachia mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche kwenda Yanga, uongozi wa klabu hiyo ya Jangwani haujakata tamaa na sasa unapanga mashambulizi upya ili kumsajili straika huyo. Tchetche ni mmoja wa wachezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Azam ambacho msimu uliomalizika hivi karibuni,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kocha amkubali Kipre Tchetche
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Kipre Tchetche aanza kujifua Azam FC
MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, Kipre Tchetche wa Azam FC, jana asubuhi aliibuka rasmi katika mazoezi ya Wanalambalamba hao yaliyofanyika kwenye dimba la Azam Complex, huku...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Yanga yamkomalia Jaja kortini
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Tchetche, 3-5-2 tishio kwa Yanga
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Azam yaipuuza Yanga kwa Tchetche
NA MWANDISHI WETU
MABINGWA wa Kombe la Kagame, timu ya Azam imeshtushwa na taarifa za uongozi wa Yanga kumfungia kazi mshambuliaji wake tegemeo, Kipre Tchetche, ili kumsajili kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Jumapili hii.
Uongozi wa Azam jana umesema kuwa mshambuliaji huyo bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall na ataendelea kuwepo sana ndani ya timu hiyo.
Tchetche amekuwa mwiba mkali kwa timu pinzani, mpaka sasa...
10 years ago
Mwananchi12 May
TFF yamkomalia Ndumbaro
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Julio: Wawa, Kipre wanajua
10 years ago
TheCitizen04 Dec
Twite, Tambwe, Kipre eye prize