Kocha amkubali Kipre Tchetche
Kocha Msaidizi wa Ferroviario Da Beira, Victor Martin amemvulia kofia mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche kwa kusema ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYanga yamkomalia Kipre Tchetche
Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche. Na Sweetbert Lukonge
LICHA ya uongozi wa Azam FC kueleza kuwa haupo tayari kumwachia mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche kwenda Yanga, uongozi wa klabu hiyo ya Jangwani haujakata tamaa na sasa unapanga mashambulizi upya ili kumsajili straika huyo. Tchetche ni mmoja wa wachezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Azam ambacho msimu uliomalizika hivi karibuni,...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Kipre Tchetche aanza kujifua Azam FC
MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, Kipre Tchetche wa Azam FC, jana asubuhi aliibuka rasmi katika mazoezi ya Wanalambalamba hao yaliyofanyika kwenye dimba la Azam Complex, huku...
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Julio: Wawa, Kipre wanajua
Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amewaponda wachezaji wa kigeni hasa wanaosajiliwa na Simba, Yanga na Azam FC kwamba hawana jipya ingawa amesifu uwezo wa Kipre Tchetche na Pasca Wawa pamoja na Emmanuel Okwi huku akitangaza kiama kwa timu hizo katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
10 years ago
TheCitizen04 Dec
Twite, Tambwe, Kipre eye prize
Three players from Young Africans, Simba Sports Club and Azam FC are in the final list of the Tanzania Sports Writers Association (Taswa) 2013/2014 annual sports personality award on December 12 at the Diamond Jubilee VIP Hall.
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Lissu amkubali Sitta
>Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) amesema ameupokea kwa furaha, uteuzi na uamuzi wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta wa kugombea Uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
GPLDIAMOND AMKUBALI PETIT MAN
Stori: Mayasa Mariwata
HESHIMA! Tofauti na ilivyokuwa ikifikiriwa na wengi kwamba hamkubali shemeji yake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameonyesha kumkubali shemeji yake Ahmed Hashimu ‘Petit Man’ hadharani. Shemeji wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Ahmed Hashimu ‘Petit Man’ akiwa na 'waifu tu bi'. Hivi karibuni uvumi uliibuka kuwa Diamond...
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Jaji Warioba amkubali Magufuli
>Siku moja baada ya CCM kumpitisha Dk John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais, Waziri mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema chama hicho kimefanya uamuzi sahihi kwa kuwa waziri huyo wa ujenzi ni mchapakazi na hakutumia fedha kuipata nafasi hiyo.
10 years ago
GPLPhiri amkubali Okwi shingo upande
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi, Unguja     Â
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, ameshtushwa na usajili wa kiungo mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyetua kuichezea timu hiyo.Simba, juzi Alhamisi, ilitangaza kumrejesha kundini kiungo huyo mwenye mkataba wa mwaka miwili wa kuichezea Yanga inayojiandaa na Ligi Kuu Bara msimu ujao. Akizungumza na Championi Jumamosi, Phiri raia wa Zambia,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania