Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam: Tunamtaka Amissi Tambwe

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Khadija Mngwai
BAADA ya tetesi za hapa na pale, hatimaye uongozI wa Azam FC umetangaza nia ya wazi ya kutaka kumsajili straika wa Simba, Amissi Tambwe, kwa kusema wataweka kikao na kumjadili mchezaji huyo iwapo Wekundu wa Msimbazi, watakuwa tayari kuvunja naye mkataba. Tambwe bado ana mkataba na Simba na amekuwa akihusishwa kuondoka klabuni hapo licha ya Simba kukana mara kadhaa. Katibu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe

Mshambiliaji  wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
NYOTA ya mshambuliaji hatari wa Simba, Amissi Tambwe inazidi kung’aa baada ya timu mbili zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, Yanga na Azam, kuulizia huduma yake kwa ajili ya msimu ujao.…

 

11 years ago

Mwananchi

Amissi Tambwe amhenyesha Casillas

Kama kuna mchezaji Tanzania amekuwa akiumiza kichwa kutafuta tiba ya kumfunga kipa mpya wa Simba, Hussein Sharif ‘Casillas’, asiumize kichwa tena. Amissi Tambwe ana jibu.

 

10 years ago

GPL

AMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY

Amissi Tambwe. Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Yanga SC baada ya kutemwa na timu yake ya zamani Simba SC. Tambwe ndiye mfungaji bora wa msimu uliopita Ligi Kuu Bara baada ya kutupia mabao 19. Kessy (katikati )akisaini mkataba wa miezi 18 kuichezea Simba SC jana. Kulia ni Geofrey Nyange 'Kaburu' na kushoto ni msimamizi wa Kessy, Athuman Tippo. Wakati Tambwe… ...

 

11 years ago

GPL

Tambwe: Nawasubiri Simba niende Azam FC

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amiss Tambwe, kutangaza kuikacha timu hiyo kutokana na ndoto zake za kutaka kushiriki michuano ya kimataifa kufeli, sasa yupo mbioni kujiunga na  Azam. Tambwe ambaye anaongoza kwa kuzifumania nyavu katika michuano ya ligi kuu msimu huu akiwa na mabao 19, amesema yupo tayari kutua klabuni hapo mara tu mipango...

 

10 years ago

Mwananchi

Amisi Tambwe hatihati kuivaa timu ya Azam

Mshambuliaji mpya wa Yanga Amisi Tambwe huenda akakosekana kwenye pambano la Jumapili dhidi ya Azam FC baada ya kupata majeraha kwenye nyama za paja.

 

11 years ago

GPL

Simba yampeleka Tambwe Azam, yamuomba Tchetche

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa, iwapo Azam FC watamhitaji mshambuliaji wao Amissi Tambwe, watakubali kuwapa lakini wabadilishane na Kipre Tchetche.Azam ilionyesha nia yake ya kumtaka Tambwe kufuatia uwezo anaouonyesha na kudai kuwa ipo tayari kumsajili iwapo watakubaliana na Simba.…
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe:Tunamtaka aliyemuua 'Cecil'

Zimbabwe inamtaka mwindaji aliyemuua simba maarufu 'Cecil' arejeshwe huko iliajibu mashtaka dhidi yake

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu: Tunamtaka huyo Mzungu wa Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Na Wilbert Molandi MSHAMBULIAJI wa Yanga, Didier Kavumbagu, amemwambia Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic kuwa wiki mbili ambazo Yanga wamefanya mazoezi ya pamoja, zinatosha kutoa kichapo pindi timu hizo zitakapokutana. Timu hizo zinatarajiwa kukutana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki uliopewa jina la Nani Mtani Jembe utakaochezwa Desemba 21, mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani