Amisi Tambwe hatihati kuivaa timu ya Azam
Mshambuliaji mpya wa Yanga Amisi Tambwe huenda akakosekana kwenye pambano la Jumapili dhidi ya Azam FC baada ya kupata majeraha kwenye nyama za paja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Okwi hatihati kuivaa Mbeya City
>Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi jana alilazimika kurudishwa tena Hospitali ya Taifa Muhimbili kufanyiwa kipimo cha CT scan kujiridhisha iwapo ataweza kucheza kesho mechi dhidi ya Mbeya City.
9 years ago
Habarileo06 Dec
Azam kamili kuivaa Simba
WACHEZAJI wa Azam FC wamesema mafunzo wanayopewa katika kambi yao ya Tanga yanatosha kuwamaliza wapinzani wao Simba Jumamosi wiki ijayo.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Simba kuivaa Azam FC leo
Timu ya soka ya vijana ya Simba (U-20) inashuka dimbani leo kusaka tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya vijana chini ya miaka 15 na 20 ya Roling Stone dhidi ya Azam kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Azam iko tayari kuivaa El Merreikh
Klabu ya Azam ya Tanzania imesema wako tayari kuivaa ya El- Merreikh ya Sudan katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CWRwFfvur*CmgJiqo*TNY0j2sFvd6zhUfERTlPqI22I1gcvagUrUor1qcEOtc0rhMN7b52M2rxiNKMy3PoV-pvBcKoVMazQa/yangateam.jpg)
YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI
Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dbPxE1dqDU5*9aoj7s8qQu1gcWbHAgX*CbmHSeXkktEvGbp9psGYAy1lhBxMkuAPseQy9PGK1Ryy5eaV2rWB1Uq/TAMBWE.gif?width=650)
Tambwe: Nani kasema Mbeya City timu ngumu?
Straika wa Simba, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
STRAIKA wa Simba, Amissi Tambwe amewajia juu wanaosema kuwa Mbeya City ni timu ngumu inayosumbua vigogo kwenye Ligi Kuu Bara ambapo amedai kuwa hiyo ni timu ya kawaida na kuahidi kushinda kesho Jumamosi dhidi ya timu hiyo ya Mbeya. Tambwe, raia wa Burundi, amesema timu za Tanzania zinalingana viwango, ndiyo maana hata wao walifungwa 1-0 na Mgambo JKT ambao wapo mkiani kwenye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNYKeAbougwWhnv0Z04rbVHUO32NtaAlOmWOsNEPvEdfHrrpgpesr08CEUcM7MqEpVrj5ut8iN7b8G846KFnJ47b/azam.jpg)
Azam: Tunamtaka Amissi Tambwe
Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Khadija Mngwai
BAADA ya tetesi za hapa na pale, hatimaye uongozI wa Azam FC umetangaza nia ya wazi ya kutaka kumsajili straika wa Simba, Amissi Tambwe, kwa kusema wataweka kikao na kumjadili mchezaji huyo iwapo Wekundu wa Msimbazi, watakuwa tayari kuvunja naye mkataba. Tambwe bado ana mkataba na Simba na amekuwa akihusishwa kuondoka klabuni hapo licha ya Simba kukana mara kadhaa. Katibu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HgE8wXr68il52jx2waWNxxk20dJfQ-PL5aC4TCCGLSlOJsOZYMNSKW*wsQJhoOpxS4xwl17twCBQpsc52-0iHet/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Nawasubiri Simba niende Azam FC
Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amiss Tambwe, kutangaza kuikacha timu hiyo kutokana na ndoto zake za kutaka kushiriki michuano ya kimataifa kufeli, sasa yupo mbioni kujiunga na Azam. Tambwe ambaye anaongoza kwa kuzifumania nyavu katika michuano ya ligi kuu msimu huu akiwa na mabao 19, amesema yupo tayari kutua klabuni hapo mara tu mipango...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhnvBTzd6cweyohdg0E**ECL4Lse0CoHlyPEfRgbLm3xYz8AShQkJ9zamsGPjq6t*07pAVj5XTP8XYe5RR8R5SKJ/1.jpg?width=650)
Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe
Mshambiliaji wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
NYOTA ya mshambuliaji hatari wa Simba, Amissi Tambwe inazidi kung’aa baada ya timu mbili zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, Yanga na Azam, kuulizia huduma yake kwa ajili ya msimu ujao.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania