Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe
![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhnvBTzd6cweyohdg0E**ECL4Lse0CoHlyPEfRgbLm3xYz8AShQkJ9zamsGPjq6t*07pAVj5XTP8XYe5RR8R5SKJ/1.jpg?width=650)
Mshambiliaji wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli NYOTA ya mshambuliaji hatari wa Simba, Amissi Tambwe inazidi kung’aa baada ya timu mbili zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, Yanga na Azam, kuulizia huduma yake kwa ajili ya msimu ujao.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNYKeAbougwWhnv0Z04rbVHUO32NtaAlOmWOsNEPvEdfHrrpgpesr08CEUcM7MqEpVrj5ut8iN7b8G846KFnJ47b/azam.jpg)
Azam: Tunamtaka Amissi Tambwe
10 years ago
GPLAMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Amissi Tambwe amhenyesha Casillas
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HgE8wXr68il52jx2waWNxxk20dJfQ-PL5aC4TCCGLSlOJsOZYMNSKW*wsQJhoOpxS4xwl17twCBQpsc52-0iHet/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Nawasubiri Simba niende Azam FC
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Amisi Tambwe hatihati kuivaa timu ya Azam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q4Epy2fSOls0F58d4XzWudho5PMXo8lIzwoOjoM9oFpbEsCKIeu1mEC8*kytF0EVRh0NzNh96I6471Z1ZmntHpaNDH4qKDS0/simba2.jpg?width=650)
Simba yampeleka Tambwe Azam, yamuomba Tchetche
9 years ago
Habarileo23 Aug
Azam teja kwa Yanga
YANGA jana ilianza vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mwaka 2015/16 baada ya kuwafunga Azam FC kwa penalti 7-6 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.
9 years ago
Habarileo01 Jan
Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi
YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Azam yaipuuza Yanga kwa Tchetche
NA MWANDISHI WETU
MABINGWA wa Kombe la Kagame, timu ya Azam imeshtushwa na taarifa za uongozi wa Yanga kumfungia kazi mshambuliaji wake tegemeo, Kipre Tchetche, ili kumsajili kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Jumapili hii.
Uongozi wa Azam jana umesema kuwa mshambuliaji huyo bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall na ataendelea kuwepo sana ndani ya timu hiyo.
Tchetche amekuwa mwiba mkali kwa timu pinzani, mpaka sasa...