Azam watoa dakika 30 Sudan
Kocha msaidizi wa Azam, George Nsimbe ‘Best’ amesema anatambua kuwa wenyeji wao, El- Merreikh wataanza mchezo wa leo kwa kasi ya kushambulia, hivyo kikosi chake lazima kiwe imara katika dakika 30 za mwanzo na kuhakikisha wanapata bao katika muda huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMadaktari wa Kichina watoa mafunzo ya kinga na tiba ya ugonjwa wa corona Sudan
Maafisa zaidi ya 50 wa afya nchini Sudan wanashiriki katika zoezi hilo ambalo lengo lake kuu ni kuchukua hatua za haraka za kuzuia na kutibu ugonjwa huo hatari.
Mmoja wa madaktari hao kutoka China, Li Changhong, amesema kuwa, timu yake ina mawasiliano ya karibu...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Yanga kwa Wanajeshi, Azam Sudan
Mabingwa wa Tanzania, Azam wataanza harakati zake za Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kuivaa El Merreikh ya Sudan, wakati Yanga wenyewe watakuwa na kibarua kwa BDF ya Botswana katika Kombe la Shirikisho.
10 years ago
MichuziAZAM FC YAICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSINI
10 years ago
VijimamboAZAM FC YAICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSIN
10 years ago
VijimamboAZAM FC YAIBAMIZA EL MERREIKH YA SUDAN 2-0 KOMBE LA MABINGWA AFRIKA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9NUg__cE2Lk/VODJzw5CzAI/AAAAAAAHD0Q/Ct_riO-Wagc/s72-c/FILE0044.jpg)
WAPENDA SOKA ZAIDI YA ELFU MOJA WASHINDWA KUANGALIA MECHI YA AZAM NA EL MELEKH YA SUDAN KWENYE UWANJA WA CHAMAZI LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-9NUg__cE2Lk/VODJzw5CzAI/AAAAAAAHD0Q/Ct_riO-Wagc/s1600/FILE0044.jpg)
Hali hiyo imekuja baada ya watu hao waliokuwa na tiketi zao mkononi kuambiwa uwanja umejaa,hivyo hakuna sehemu ya kuwaweka.
Taarifa za chini ya kapeti zinaeleza...
9 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-5l3Kdc4YmPc/Vj_LeFN3TRI/AAAAAAABaCk/JWd78YsnaUg/s640/azam.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania