WANA NDUGU WA FAMILIA MOJA WAKUTAANA CHICAGO
![](http://2.bp.blogspot.com/-WD05VBMgIXE/VXL-Kb_0iEI/AAAAAAADqSM/1305nkWYKOs/s72-c/7dcc8a6f5362de534daa4ae6fb2ee95a.jpg)
Mayor wa Seattle(Amin Dola) akiwa nje ya mgahawawa Michael Jordan jijini Chcago alipokua amekwenda kumtembelea mdogo wake Dola Soul
Mayor wa Seattle akitaatiza mitaa ya Chicago.
Wana ndugu Dola Soul na Amin Dola "Mayor" wa Seattle wakitaabaruk walipokutana jijini Chicago baada ya Amin Dola kumtembelea mdogo wake Dola Soul anayeishi pande hizo.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M5eIeogaRC4/UwUAtE-2exI/AAAAAAAFOGw/QloBugfai44/s72-c/IMG_1366.jpg)
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu!!!
Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.
Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Familia yatishia kususia mwili wa ndugu yao
FAMILIA ya marehemu Elinema Massawe imesema wataususa mwili wa marehemu ndugu yao katika Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu pindi polisi hao watakapolazimisha kazi ya upasuaji kufanywa na Daktari wa...
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu Ati!!!
Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.
Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
JUKWAA LA SHERIA: Nafasi ya ndugu katika umiliki wa mali za familia
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Watoto waliokulia familia korofi wana uwezo wa kukabili matatizo ya kimaisha
10 years ago
Habarileo02 Mar
Watano wa familia moja hoi
WATU watano wa familia moja katika Kitongoji cha Benaco, Kata ya Mtandi Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamelazwa katika Hospitali ya Mkomaindo huku hali zao zikiwa mbaya baada ya kunywa dawa ya kienyeji waliyopewa na mganga wa tiba za asili.
11 years ago
MichuziWana Familia wa Kikundi cha ujirani mwema Ndachi, Dodoma walivyoisherehekea sikukuu ya Pasaka
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Watatu wa familia moja wafa ajalini
WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....