Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia yatishia kususia mwili wa ndugu yao

FAMILIA ya marehemu Elinema Massawe imesema wataususa mwili wa marehemu ndugu yao katika Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu pindi polisi hao watakapolazimisha kazi ya upasuaji kufanywa na  Daktari wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema yatishia kususia Bunge

Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitasusia bunge hilo, iwapo mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jaji Warioba hayatazingatiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yatishia kususia kura ya maoni Katiba Mpya

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitakubali kura ya maoni za Katiba Mpya kufanyika bila daftari la wapiga kura kuboreshwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia:Familia zatishia kususia chakula

Jamaa za abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia,wametisha kususia chakula ikiwa Malaysia haitasema ukweli kuhusu ndege iliyotoweka

 

10 years ago

Bongo Movies

Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu!!!

Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael  “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.

Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WANA NDUGU WA FAMILIA MOJA WAKUTAANA CHICAGO

 Mayor wa Seattle(Amin Dola) akiwa nje ya mgahawawa Michael Jordan jijini Chcago alipokua amekwenda kumtembelea mdogo wake Dola Soul Mayor wa Seattle akitaatiza mitaa ya Chicago.Wana ndugu Dola Soul na Amin Dola "Mayor" wa Seattle wakitaabaruk walipokutana jijini Chicago baada ya Amin Dola kumtembelea mdogo wake Dola Soul anayeishi pande hizo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu Ati!!!

Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael  “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.

Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Ndugu wamchinja mpenzi wa mama yao

NDUGU wawili wa kiume wa familia moja wilayani Mlele mkoa wa Katavi, wanatuhumiwa kumuua mpenzi wa mama yao kwa kumchinja, kisha kutelekeza mwili wake porini. Wakazi hao ambao mmoja ni mtoto mwenye umri wa miaka 16 ni wakazi wa Kitongoji cha Milumba Kata ya Kibaoni na aliyeuawa ni Kitungulu Luhende (65).

 

10 years ago

Mwananchi

JUKWAA LA SHERIA: Nafasi ya ndugu katika umiliki wa mali za familia

Mali za familia ni mali zilizopatikana katika muktadha wa familia kwa maana ya chini ya Muunganiko wa mume na mke ambao umepelekea kuzaliwa kwa watoto au ongezeko la watu wengine katika familia hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwili uliokutwa na dawa za kulevya wakabidhiwa familia

Mwili wa aliyekuwa mfanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam, Khalid Kitara (47) uliokutwa na dawa za kulevya zinazodhaniwa kuwa ni heroini, umekabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya utaratibu wa mazishi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani