Chadema yatishia kususia kura ya maoni Katiba Mpya
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitakubali kura ya maoni za Katiba Mpya kufanyika bila daftari la wapiga kura kuboreshwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Chadema yatishia kususia Bunge
Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitasusia bunge hilo, iwapo mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jaji Warioba hayatazingatiwa.
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Ukawa kususia Kura ya Maoni ni matokeo tu
Kufikia leo, itakuwa zimesalia siku 35 kabla Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuruhusu asasi za kiraia kutoa elimu ya uraia juu ya Katiba Inayopendekezwa, hii ikiwa ni kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Kura ya Maoni. Ndani ya siku hizi 35 na kwa utaratibu wa kawaida inapasa tuwe tayari na wapigakura wetu ambao taarifa zao zimeboreshwa na wale walitimiza miaka 18 wameandikishwa upya na kila mtu ana kitambulisho chake.
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Mahakama ya kadhi: Waislamu kususia kura ya maoni
Jumuia na Taasisi za Kiislamu  Tanzania zimesema kuwa zitahamasisha Wanajumuia wake kususia kupiga kura za maoni ya Katiba mpya hadi pale watakapopata uhakika wa kupata Mahakama ya Kadhi yenye meno.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Dawa ya Katiba Mpya kura ya maoni-Membe
Kama ilivyo kwa makada wengine wa CCM, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe anaona kuwa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilifanya kosa moja; iliamua kuwateulia Watanzania idadi ya serikali za Muungano.
10 years ago
Mwananchi10 Nov
‘Kura ya maoni mwanzo wa kudai Katiba Mpya’
>Wakati Serikali ikihaha kuhakikisha inaandika historia mpya kwa kupitisha Katiba Inayopendekezwa Aprili 30, mwakani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo – Bisimba amesema siku hiyo itakuwa mwanzo wa Watanzania kudai Katiba Mpya.
10 years ago
Vijimambo11 Mar
Giza totoro kura ya maoni katiba mpya.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lubuva-10March2015.jpg)
Baadhi ya wanazuoni, viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati wamesema hakuna muujiza wowote unaoweza kufanyika hivi sasa kufanikisha kura ya maoni Aprili 30, mwaka huu.
Wamesema kulazimisha kura ya maoni kama ilivyotangazwa ni sawa na ‘kuchochea fujo’, jambo linaloweza kuepukika.
Wakizungumza na NIPASHE kwa nyakati tofauti jana, walisema nchi imegawanyika vipande vipande, huku wengine wakipinga mchakato wote, hivyo kulazimisha kura ni kuendelea kuligawa...
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Ukawa kuhamasisha wananchi wasipige kura ya maoni Katiba mpya
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza rasmi kutoshiriki katika mchakato wa kura ya maoni ya katiba na kwamba kuanzia sasa vitahamasisha wananchi kuunga mkono.
10 years ago
Mwananchi02 Apr
KATIBA MPYA: Hakuna kura ya maoni Aprili 30, uboreshaji daftari kukamilika Julai
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imekubali kuahirisha upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa Daftrai la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR).
10 years ago
Mwananchi12 Apr
MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Miezi mitano ya sintofahamu kuhusu BVR, Kura ya Maoni
>Ilichukua miezi mitano kumaliza mvutano wa kimahesabu na maneno baina ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Serikali na wadau wa demokrasia kuhusu muda wa maandalizi na upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania