Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yatishia kususia Bunge

Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitasusia bunge hilo, iwapo mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jaji Warioba hayatazingatiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema yatishia kususia kura ya maoni Katiba Mpya

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitakubali kura ya maoni za Katiba Mpya kufanyika bila daftari la wapiga kura kuboreshwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kususia Bunge la Katiba ikiwa...

Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisema wabunge wa chama chake watasusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ikiwa hoja ya kuundwa kwa Serikali tatu itapingwa na wabunge wa CCM, Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF), Ismail Jussa Ladhu ametaka kuvunjwa kwa Muungano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Familia yatishia kususia mwili wa ndugu yao

FAMILIA ya marehemu Elinema Massawe imesema wataususa mwili wa marehemu ndugu yao katika Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu pindi polisi hao watakapolazimisha kazi ya upasuaji kufanywa na  Daktari wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa: Msishangae, Ni kawaida kususia Bunge

>“Sijaweka orodha ya vitabu vya mwaka huu,  sijavi-document (sijaviorodhesha) pale.” Hii ni kauli ya mwanasiasa mkongwe, Pius Msekwa ambaye ameshika nyadhifa mbalimbali katika Bunge, chama tawala ambaye katika mahojiano maalum na waandishi wa Mwananchi alikuwa na mengi ya kusema.

 

11 years ago

Mwananchi

Kakobe: Ninaunga mkono Ukawa kususia Bunge

>Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutorejea kwenye awamu ya pili ya vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

GPL

UAMUZI ULIOTANGAZWA NA WIZARA YA FEDHA KWA UKAWA BAADA YA KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE LA KATIBA

Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba. Wizara ya Fedha kupitia Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba wametangaza uamuzi wa kufuta malipo ya Wabunge waliosusia vikao vya mchakato wa Katiba vinavyoendelea Dodoma.

Uamuzi huu umetangazwa ikiwa ni siku ya pili tangu Wajumbe wa Bunge la Katiba Kutoka UKAWA wasusie Shughuli za Bunge la Katiba kwa Madai wamechoka matusi na Kuburuzwa kwenye Bunge hilo.

Hii leo...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema waalikwa Bunge la Ulaya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata mwaliko wa kuhudhuria Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) na kushiriki mkutano mkuu wa chama tawala cha nchini Ujerumani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA watishia kulisusa Bunge

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetishia kujiondoa katika Bunge Maalumu la Katiba endepo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitalazimisha kupitisha vifungu vya rasimu ya katiba. Licha ya kutoeleza mkakati wake...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA YA ZIARA YA CHADEMA BUNGE LA ULAYA

 Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP), Rainer Wieland akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Patrobas Katambi. Ujumbe wa CHADEMA ukiongozwa na mwanadiplomasia mahiri Profesa Abdalla Safari, uko nchini Ubelgiji kwa ziara ya kikazi kufuatia mwaliko wa bunge hilo.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Profesa Safari Abdalla akisalimiana na Makamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani