TASWIRA YA ZIARA YA CHADEMA BUNGE LA ULAYA
.jpg)
Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP), Rainer Wieland akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Patrobas Katambi. Ujumbe wa CHADEMA ukiongozwa na mwanadiplomasia mahiri Profesa Abdalla Safari, uko nchini Ubelgiji kwa ziara ya kikazi kufuatia mwaliko wa bunge hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Profesa Safari Abdalla akisalimiana na Makamu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Dec
Chadema waalikwa Bunge la Ulaya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata mwaliko wa kuhudhuria Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) na kushiriki mkutano mkuu wa chama tawala cha nchini Ujerumani.
10 years ago
VijimamboSPIKA KIFICHO AMSHUKURU MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE LA ULAYA YA USHIRIKIANO WA BUNGE LA ULAYA NA TANZANIA
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS WA BUNGE LA ULAYA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA NCHINI UBELGIJI


11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA



11 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI
11 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALIMBALI YA ZIARA YA MHE. MEMBE NCHINI CHINA


10 years ago
Vijimambo
TASWIRA: MKUTANO WA CHADEMA MUSOMA



10 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALIMBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN



BOFYA HAPA KWA PICHA...