Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) pamoja na Mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Mhe. Steinmeier walipokuwa wakiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)   Waziri Membe (Mb) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Steinmeier. Wakati wa ziara hiyo Mhe Steinmeier alimkabidhi Waziri Nyalandu ndege...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.Balozi wa Comoro hapa Nchini Mhe.Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed(kushoto)akisalimiana na Naibu Waziri Dkt.Mahadhi huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe.El-Anrif Said Hassane(katikati) akishuhudia.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan yaliyofanyika katika Ofisi ya Wizara hiyo leo.Walioshuhudia mazungumzo hayo kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Mbelwa Kairuki, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi, Mindi Kasiga na Katibu wa Waziri, Bw. Thobias Makoba.Maofisa kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Linda Thomas - Greenfield alipotembelea Wizarani na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kukuza mahusiano kati ya Tanzania na Marekani katika Sekta mbalimbali.Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress pamoja na ujumbe ulioambatana na Mhe. Thomas - Greenfield nao wakifuatilia...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA YA NJE WA UJERUMANI DKT FRANK-WALTER STEIMEIER IKULU LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani muda mfupi kabla ya kufanya mazungumzo ya faragha (tete-a-tete ) huko Ikulu tarehe 25.03.2014. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe wakipiga  picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Mheshimiwa Dkt. Frank-Walter Steinmeier na ujumbe aliofuatana nao wakati wakipomtembelea Rais Dkt....

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI YA ZIARA YA MHE. MEMBE NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao alipokutana nae kwa mazungumzo kwenye Jumba la Mikutano la Kitaifa la China maarufu kama People's Great Hall mjini Beijing, China. Mhe. Membe yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Mhe. Membe na Mhe. Yuanchao wakiendelea na mazungumzo. Mhe. Membe akiagana na Mhe. Yuanchao mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani