Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UAMUZI ULIOTANGAZWA NA WIZARA YA FEDHA KWA UKAWA BAADA YA KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE LA KATIBA

Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba. Wizara ya Fedha kupitia Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba wametangaza uamuzi wa kufuta malipo ya Wabunge waliosusia vikao vya mchakato wa Katiba vinavyoendelea Dodoma.

Uamuzi huu umetangazwa ikiwa ni siku ya pili tangu Wajumbe wa Bunge la Katiba Kutoka UKAWA wasusie Shughuli za Bunge la Katiba kwa Madai wamechoka matusi na Kuburuzwa kwenye Bunge hilo.

Hii leo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Katiba Mpya njia panda, Ukawa waapa kuendelea kususia vikao

>Wakati Bunge Maalumu la Katiba likiazimia kuzifanyia marekebisho kanuni zake ili kuwabana wajumbe wa Bunge hilo ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), viongozi wa kundi hilo wamesema hawatishwi na uamuzi huo na kwamba wataendelea kususia vikao hivyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utaifa utawale vikao vya maridhiano Bunge la Katiba

NI takribani miezi minne sasa tangu makundi mbalimbali nchini kuwaomba wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea katika vikao vya Bunge hilo Agosti 5. Katika makundi hayo, wamo...

 

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR YALAANI CUF KUSUSIA VIKAO VYA BARAZA

Na Mwashungi Tahir na Rahma Khamis-Maelezo Zanzibar Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kitendo kilichofanywa na Wajumbe wa Baraza la wawakilishi kupitia chama cha Wananchi (CUF) kutoka ndani ya kikao halali cha Baraza la Wawakilishi wakati wa mjadala wa kupitisha Mswaada wa sheria wa matumizi ya fedha za serikali kwa mwaka 2015/2016 ukiwa bado unaendelea.  Akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini kwake Kisiwandui Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai amesema kitendo kilichofanywa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kakobe: Ninaunga mkono Ukawa kususia Bunge

>Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutorejea kwenye awamu ya pili ya vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kususia Bunge la Katiba ikiwa...

Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisema wabunge wa chama chake watasusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ikiwa hoja ya kuundwa kwa Serikali tatu itapingwa na wabunge wa CCM, Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF), Ismail Jussa Ladhu ametaka kuvunjwa kwa Muungano.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

 

11 years ago

Habarileo

Vikao Bunge la Katiba vyaendelea

VIKAO vya Bunge Maalumu la Katiba vinaendelea leo mjini hapa kwa kamati mbalimbali za bunge hilo kujadili sura zilizopo katika Rasimu ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani