Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUKWAA LA SHERIA: Nafasi ya ndugu katika umiliki wa mali za familia

Mali za familia ni mali zilizopatikana katika muktadha wa familia kwa maana ya chini ya Muunganiko wa mume na mke ambao umepelekea kuzaliwa kwa watoto au ongezeko la watu wengine katika familia hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Sheria ya umiliki ardhi invyomsaidia mwanamke kupata haki ya umiliki

Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.

 

10 years ago

GPL

NAFASI YA NDUGU KATIKA PENZI LAKO

TAMADUNI za kiafrika, zimeleta athari kubwa sana katika jambo hili, ingawa katika hali ya kawaida, linatazamwa kama ni dogo, lisilo na athari, tofauti na uhalisia wake. Watu wanaliona ni suala la kawaida, la kupuuziwa tu, wakati kiukweli, linatakiwa kutazamwa kwa macho yote. Kimila, kimazoea na kiutamaduni imetufanya kulifanya jambo hili kuwa la kifamilia. Ndugu wamekuwa na nguvu kubwa katika uhusiano wetu. Ni ngumu kwa mfano,...

 

11 years ago

Michuzi

MWASITI, SHAA NA KHADIJA OMARI KOPA KUWASHA MOTO KATIKA JUKWAA LA FAMILIA KITCHEN PARTY GALA

wasanii wa kike watatu wanao tamba katika tasinia ya muziki nchini shaa, mwasiti na khadija omari kopa wanatalajia kupamba tamasha la jukwaa la wanawake lijulikanalo kama familia kitchen part gala litakalo fanyika jijini dar es salaam siku ya kesho katika ukumbi wa diamond jubilee chini ya women in balance chini ya udhamini wa shirika la psi tanzania.
mratibu wa jukwaa hilo vida mndolwa amesema  jukwaa hilo limelenga kutoa elimu mbalimbali hususani uzazi wa mpango na upimaji wa saratani ya...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ametoa pole kwa familia 21 zilizopata msiba uliotokana na ajali ya basi iliyotokea maeneo ya kilimahewa wilayani Mkuranga mkoani Pwani na kuwataka wananchi kuchukua taadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.                                               Akizungumza na wanafamilia hao aliowatembelea kuwapa pole katika kata saba za Wilaya ya Mkuranga, Ulega aliwapatia kiasi zaidi ya Sh.milioni moja na unga kwa familia hizo za marahemu.                  ...

 

9 years ago

Mwananchi

Ridhiwani afunguka umiliki wa mali, kukwepa kodi

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amesema hahusiki na madai mbalimbali yanayotolewa dhidi yake yakiwamo ya kuwasaidia baadhi ya wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isimamie sheria umiliki wa ardhi’

SERIKALI imetakiwa kusimamia sheria, taratibu na kanuni za umiliki wa ardhi ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo uvunjifu wa amani na umwagikaji wa damu. Mkurungezi wa Taasisi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

JUKWAA LA SHERIA : Madhara ya kutojua sheria

Kuna msemo wa kilatini unaosema “Ignoracia juris, non excusat” wenye maana kwa Kiingereza; “ignorance of law is not an excuse” na tafsiri ya Kiswahili, twaweza kusema: “Kutojua sheria siyo utetezi au kutojua sheria haiwezi kuwa kinga ya kukufanya usichukuliwe hatua za kisheria kama umetenda kosa”

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MAMBO YA MSINGI KISHERIA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI WA PAMOJA

Na  Bashir  Yakub.
Ardhi  inaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Inaweza  kuwa  nyumba  au  kiwanja.  Vyote  hivi  vinaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Kumiliki ardhi  kwa  zaidi  ya  mtu  mmoja  sio  lazima  iwe  kwa  wanandoa. Inaweza  kuwa  ndugu ,  marafiki ,  kikundi  cha  watu kama  wafanyabiashara, wana  saccos, kikundi  cha  michezo  na  aina  yoyote  ya  kikundi  cha  kimaendeleo.  Umiliki  wa  ardhi  kwa  pamoja  unatofauti  na  umiliki  binafsi  yaani umiliki...

 

9 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WA MKOA WA IRINGA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI NA UONGOZI

Wanawake wa wilaya za Iringa, Mufindi na Kilolo mkoani Iringa wapatiwa mafunzo juu ya ushawishi na utetezi wa haki za wanawake na sheria ya umiliki wa ardhi ya mwaka 1999. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Shirika la Land O'Lakes chini ya ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID). Mratibu Msaidizi wa Programu wa Shirika la Land O’Lakes Tanzania, Mary Kafanabo alisema kuwa mafunzo hayo yametolewa kufuatia uelewa mdogo wa sheria za umiliki wa ardhi na sheria ya ardhi kwa ujumla.
Alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani