MWASITI, SHAA NA KHADIJA OMARI KOPA KUWASHA MOTO KATIKA JUKWAA LA FAMILIA KITCHEN PARTY GALA

wasanii wa kike watatu wanao tamba katika tasinia ya muziki nchini shaa, mwasiti na khadija omari kopa wanatalajia kupamba tamasha la jukwaa la wanawake lijulikanalo kama familia kitchen part gala litakalo fanyika jijini dar es salaam siku ya kesho katika ukumbi wa diamond jubilee chini ya women in balance chini ya udhamini wa shirika la psi tanzania.
mratibu wa jukwaa hilo vida mndolwa amesema jukwaa hilo limelenga kutoa elimu mbalimbali hususani uzazi wa mpango na upimaji wa saratani ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
KHADIJA KOPA KUWASHA MOTO LONDON,NI JUMAMOSI YA 18 JULY

10 years ago
Vijimambo
KHADIJA KOPA KUWASHA MOTO LONDON,NI JUMAMOSI YA 18 JULY 2015
Khadija kopa Kuwasha moto Siku ya Eid London ni Jumamosi 18/07/2015 ndani ya Ukumbi wa La royare Banquet Suites London 819 -821 High Road Nunua Tickeck yako Mapema kuepuka usumbufu Mlangoni bonyeza link hii kununua https://www.tickettailor.com/checkout/view-event/id/29235/chk/9a14 Show hii imeletwa kwenu na Bongodeejays Events kwa Maelezo zaidi na ticket Booking piga namba hizi +447853482158/+447931526622 /+447421167123 au tembelea link zifuatazo kwa habari...
11 years ago
Michuzi
Familia Kitchen Party Gala ni Jumapili Hii

11 years ago
Michuzi
FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NDANI YA JIJI LA DAR

11 years ago
Michuzi
Familia Kitchen Party Gala ndani ya jiji la Mwanza
Ukiachana na maongezi kuhusu mahusiano na masuala ya kina mama,vilevile wanawake walipata nafasi ya kupata huduma na ushauri wa Uzazi wa mpango,vipimo vya saratani/kansa ya mlango wa uzazi iliyotolewa bure na Familia kupitia PSI Tanzania.

11 years ago
GPL
FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NI JUMAPILI HII
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
Khadja Kopa, Bilal Mashauzi kuwasha moto USIKU WA KHANGA PARTY NOV 29

ASIA Idarous Khamsin na Safari Carnival wanakuletea usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab watakaowasha moto wa burudani sambamba na gwiji wa mipasho nchini Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi, Jumamosi ya usiku wa Novemba 29, ndan ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B.
Kwa mujibu wa mmoja wa wandaaji wa usiku huo, Asia Idarous Khamsin, amesema tayari maandalizi yake yamekamilika na amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi katika onesho hilo la aina yake kwa...