Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAFASI YA NDUGU KATIKA PENZI LAKO

TAMADUNI za kiafrika, zimeleta athari kubwa sana katika jambo hili, ingawa katika hali ya kawaida, linatazamwa kama ni dogo, lisilo na athari, tofauti na uhalisia wake. Watu wanaliona ni suala la kawaida, la kupuuziwa tu, wakati kiukweli, linatakiwa kutazamwa kwa macho yote. Kimila, kimazoea na kiutamaduni imetufanya kulifanya jambo hili kuwa la kifamilia. Ndugu wamekuwa na nguvu kubwa katika uhusiano wetu. Ni ngumu kwa mfano,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Usililinde penzi lako kwa uongo

ASALAM aleykum msomaji wa safu hii ya Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii inayotufundisha mambo mbalimbali ya kuishi vema na wapenzi wetu. Hivi wewe ni muongo? Upo katika mahusiano...

 

10 years ago

Mwananchi

JUKWAA LA SHERIA: Nafasi ya ndugu katika umiliki wa mali za familia

Mali za familia ni mali zilizopatikana katika muktadha wa familia kwa maana ya chini ya Muunganiko wa mume na mke ambao umepelekea kuzaliwa kwa watoto au ongezeko la watu wengine katika familia hiyo.

 

11 years ago

Bongo5

Song: Samio love ft K Handsome — Penzi Lako

Huu ni Wimbo Mpya kutoka kwa Samia Love akimshirikisha Handsome ngoma inaitwa “Penzi Lako”

 

10 years ago

GPL

PIGANIA PENZI LAKO, KULIA AU KULISUSA SIYO DAWA!

Mpenzi msomaji wangu, kama ulikuwa hujui fahamu kwamba mapenzi ni kama siasa, siasa ina ushindani kati ya chama tawala na pinzani, chama tawala kinavuta kwake ili kuendelea kushikilia dola lakini pia vyama pinzani vinajipanga kuhakikisha vinaingia madarakani. Naweza kusema pia penzi ni kama siti ya daladala, ukishuka wewe mwingine anakaa. Wakati mwingine kuna kuwahiana au kupokonywa. Hapa namaanisha kwamba katika mapenzi kama...

 

9 years ago

GPL

YOTE HAYA UTAYAPATA KATIKA GAZETI LAKO LA IJUMAA WIKIENDA

WASTARA AKATWA MGUU! -Mamilioni ya fedha yatumika, mwenyewe aeleza maumivu makali aliyopitia kwa saa 24 -Unataka kujua jinsi alivyokatwa mguu huo na ni kwa nini? CHANZO CHA LULU KUTODUMU NA MWANAUME CHATAJWA! -Unajua chanzo hicho ni nini? -Licha ya kuwa na mvuto, kwa nini hadumu na mwanaume? MGONI AMUUA MWENYE MKE! -Amvizia shambani, ampiga na jembe kichwani naye ala kichapo -Unajua chanzo cha kisa hicho? KAJALA APATA...

 

11 years ago

Michuzi

KATIKA KUELEKEA SIKUKUU YA EID EL FITR DUKA LAKO LA J&M VIRGO LASHUSHA MALI MPYA

 KATIKA KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU YA EID EL FITR NA KUHAKIKISHA KWAMBA WATU WANATOKA NA PAMBA KALI NA ZA KISAWASA,DUKA LAKO PENDWA LENYE VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA JIJI LA DAR ES SALAAM LINALOFAHAMIKA KAMA J&M VIRGO,LIMESHUSHA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA KWAKO WEWE MTANZANIA.
HIVYO FIKA DUKANI KWAO PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA ILI UWEZE KUJIPATIA VITUZZ NA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA ZA KISASA NA MICHUCHUMIO YA HAJA KWA KINA DADA.
KWA...

 

10 years ago

GPL

IYANYA AZAMA KATIKA PENZI NA MWIGIZAJI CHIPUKIZI

Iyanya akiwa amepozi na ‘mshikaji’ wake Angel Ufumona. MWANAMUZIKI Iyanya aka ‘Mr Oreo’ wa Nigeria, amekolea katika penzi la muigizaji rembo ambaye ni chipukizi anayeshiriki naye katika maandalizi ya filamu iitwayo ‘Superstar’. Iyanya. Iyanya amejikuta katika ‘mahaba niue’ na mwigizaji, Angel Ufumoma, a nayeshirikiana naye katika filamu inayotarajiwa itainua zaidi fani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya shampoo katika nywele

Matumizi ya bidhaa mbalimbali yamekuwa yakifanyika kutokana na mazoea tu. Wakati mwingine imekuwa ni vigumu kwa mtumiaji husika kueleza, umuhimu au faida za bidhaa anayoitumia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushirikina usipewe nafasi katika michezo

MOJA ya habari zilizogonga vichwa vya habari hasa katika kurasa za michezo mwanzoni mwa wiki hii ni madai ya mchezaji mmoja wa Mgambo JKT ya Tanga, kukutwa na kitu kinachodhaniwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani