Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usililinde penzi lako kwa uongo

ASALAM aleykum msomaji wa safu hii ya Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii inayotufundisha mambo mbalimbali ya kuishi vema na wapenzi wetu. Hivi wewe ni muongo? Upo katika mahusiano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NAFASI YA NDUGU KATIKA PENZI LAKO

TAMADUNI za kiafrika, zimeleta athari kubwa sana katika jambo hili, ingawa katika hali ya kawaida, linatazamwa kama ni dogo, lisilo na athari, tofauti na uhalisia wake. Watu wanaliona ni suala la kawaida, la kupuuziwa tu, wakati kiukweli, linatakiwa kutazamwa kwa macho yote. Kimila, kimazoea na kiutamaduni imetufanya kulifanya jambo hili kuwa la kifamilia. Ndugu wamekuwa na nguvu kubwa katika uhusiano wetu. Ni ngumu kwa mfano,...

 

11 years ago

Bongo5

Song: Samio love ft K Handsome — Penzi Lako

Huu ni Wimbo Mpya kutoka kwa Samia Love akimshirikisha Handsome ngoma inaitwa “Penzi Lako”

 

10 years ago

GPL

PIGANIA PENZI LAKO, KULIA AU KULISUSA SIYO DAWA!

Mpenzi msomaji wangu, kama ulikuwa hujui fahamu kwamba mapenzi ni kama siasa, siasa ina ushindani kati ya chama tawala na pinzani, chama tawala kinavuta kwake ili kuendelea kushikilia dola lakini pia vyama pinzani vinajipanga kuhakikisha vinaingia madarakani. Naweza kusema pia penzi ni kama siti ya daladala, ukishuka wewe mwingine anakaa. Wakati mwingine kuna kuwahiana au kupokonywa. Hapa namaanisha kwamba katika mapenzi kama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!

1005224_161118974079176_1902408761_n

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.

Tahariri ya leo Machi 10,  Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.

Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka uongozi kwa Kinana si uongo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, ana sura nyingi, tena tata. Ni mfanyabiashara, tena mwenye kutia shaka, ambaye amewahi kutuhumiwa kusafirisha pembe za ndovu. Ni mwanasiasa anayechanganya...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AMUUMBUA SHIJA KWA UONGO!

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma amemuumbua msanii mwenzake Deogratius Shija baada ya kutoa taarifa zinazoonekana ni za uongo. Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma Awali Wastara ambaye hivi karibuni alinyakua tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa mwaka kwenye tuzo za Action and Cuts, alimshukuru Mzee Majuto kwamba ndiye aliyemtoa kisanaa jambo ambalo limemhuzunisha Shija na kusema anashangaa kwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

AFRIKA TRAVEL & LOGISTICS SASA CHAGUO NI LAKO KUFARIRISHA MZIGO KWA NDEGE AU MELI BEI NI POA SANA

 WE PIGA SIMU TU NA MZIGO UTAUKUTA DAR ES SLAAM AU POPOTE PALE DUNIANI UNAPOTAKA KUUPELEKA JARIBU LEO AFRIKA TRAVEL & LOGISTICS KWA AJILI YAKO WAKATI WOWOTE HUDUMA ILIYO BORA KWA HARAKA NA UFANISI KWANI KWETU MTEJA NI MFALME.

 

9 years ago

StarTV

Askari watatu wathibitika kufukuzwa Kigoma kwa Uenezaji Taarifa Za Uongo

Jeshi la Polisi limethibitisha kufukuzwa kazi kwa askari wake watatu mkoani Kigoma baada ya kubainika kuzusha na kueneza taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya jeshi la polisi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP Fredinand Mtui amewataja askari waliotenda kosa Agosti mwaka huu kuwa ni Copro Johnson, Private Costable Justine  na Wp Mercy.

Katika  kikao  chake na waandishi  wa habari  ofini kwake kamanda mtui amesema hatua za  askari  hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani