WASTARA AMUUMBUA SHIJA KWA UONGO!

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma amemuumbua msanii mwenzake Deogratius Shija baada ya kutoa taarifa zinazoonekana ni za uongo. Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma Awali Wastara ambaye hivi karibuni alinyakua tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa mwaka kwenye tuzo za Action and Cuts, alimshukuru Mzee Majuto kwamba ndiye aliyemtoa kisanaa jambo ambalo limemhuzunisha Shija na kusema anashangaa kwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SHIJA SASA ATAMANI NDOA NA WASTARA
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.
Tahariri ya leo Machi 10, Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.
Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
News Alert!!:Rais Jakaya Kikwete amuumbua Afisa SUMATRA! awalipua kwa kuchochea migogoro nchini
Rais Dk. Jakaya Kikwete.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amemuumbua mtendaji wa SUMATRA nchini kwa kile alichokieleza kuwa anakibagua chama kipya cha madereva hali ambayo inasababisha madereva hao kukosa mikataba yao na kusabisha mifarakano baina ya madereva na waajili.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini (SUMATRA), Dk Oscar Kikoyo alijikuta katika wakati mgumu pale Rais JK...
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Usililinde penzi lako kwa uongo
ASALAM aleykum msomaji wa safu hii ya Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii inayotufundisha mambo mbalimbali ya kuishi vema na wapenzi wetu. Hivi wewe ni muongo? Upo katika mahusiano...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Tunataka uongozi kwa Kinana si uongo
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, ana sura nyingi, tena tata. Ni mfanyabiashara, tena mwenye kutia shaka, ambaye amewahi kutuhumiwa kusafirisha pembe za ndovu. Ni mwanasiasa anayechanganya...
9 years ago
StarTV27 Nov
Askari watatu wathibitika kufukuzwa Kigoma kwa Uenezaji Taarifa Za Uongo
Jeshi la Polisi limethibitisha kufukuzwa kazi kwa askari wake watatu mkoani Kigoma baada ya kubainika kuzusha na kueneza taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya jeshi la polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP Fredinand Mtui amewataja askari waliotenda kosa Agosti mwaka huu kuwa ni Copro Johnson, Private Costable Justine na Wp Mercy.
Katika kikao chake na waandishi wa habari ofini kwake kamanda mtui amesema hatua za askari hao...
5 years ago
Michuzi
WANAOTUHUMIWA KWA MAKOSA 667 WAWATUHUMU MAWAKILI WA SERIKILI KUSEMA UONGO MAHAKAMANI


MSHTAKIWA Yared Jonas anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yenye mashtaka 667 likiwemo la wizi wa Umeme pamoja na wenzake wanne amedai kuwa hawakuwahi kutegemea kusikia mawakili wa serikali wanasema uongo mahakamani.
Mbali na Jonas, washtakiwa wengine ni Emilian Mlowe, Bashiru Ngella, Shakira Ngella na Mkama Maira.
Jonas amedai anashangaa kuona wanawabadirishia...
5 years ago
CCM Blog
STOP KUTUMIA NAMBA YA TAHADHARI YA MAJANGA YA MOTO KWA KUTOA TAARIFA ZA UONGO

KAGERA
Wananchi Mkoani Kagera wametakiwa kuacha mara moja tabia ya kutoa taarifa zisizo za kweli kwa kutumia namba ya tahadhali inayotumika kutoa taarifa kwa jeshi la zimamoto na uokoaji.
kauli hiyo imetolewa na mkaguzi wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Kagera Thomas Majuto wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo amesema kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa wakitumia vibaya namba ya tahadhali inatumika kutoa taarifa za majanga yakiwemo ya ...