Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUKWAA LA SHERIA : Madhara ya kutojua sheria

Kuna msemo wa kilatini unaosema “Ignoracia juris, non excusat” wenye maana kwa Kiingereza; “ignorance of law is not an excuse” na tafsiri ya Kiswahili, twaweza kusema: “Kutojua sheria siyo utetezi au kutojua sheria haiwezi kuwa kinga ya kukufanya usichukuliwe hatua za kisheria kama umetenda kosa”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JUKWAA LA SHERIA: Nafasi ya ndugu katika umiliki wa mali za familia

Mali za familia ni mali zilizopatikana katika muktadha wa familia kwa maana ya chini ya Muunganiko wa mume na mke ambao umepelekea kuzaliwa kwa watoto au ongezeko la watu wengine katika familia hiyo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Naona kwamba sasa inabidi kutunga sheria nyingine ya Makosa ya Jukwaa

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI

Na  Bashir  Yakub
Hapa  kwetu  Tanzania  tunazo  ndoa za  aina  kuu  mbili. Kwanza  tunazo  ndoa  za  kiraia au  kiserikali, na  pili  tunazo  ndoa  za  kimila. 
Ndoa  za  kiraia  au  za  kiserikali   kama  zinavyojulikana kwa  wengi  ni  zile  ambazo  hufungwa chini  ya  usimamizi  wa  mamlaka  za serikali  kama  ofisi  ya  mkuu  wa  wilaya n.k.  Na  kwa upande  wa  ndoa za kimila    hizi  ni  zile  ambazo  hufungwa  kutokana  na  taratibu  za  watu  wa  kabila  au  koo  fulani  kwa  mujibu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA HAILAZIMISHI KUTOA MATUNZO YA MTOTO KULIKO UWEZO WAKO.

Na   Bashir  Yakub.

Suala  la matunzo  ya  watoto/mtoto  lim ekuwa  ni suala  ambalo  wasomaji  wengi  wamekuwa  wakiniuliza sana. Wengi  wao  wanaouliza  ni  wale  ambao  wamezaa  nje  ya  ndoa  na  hivyo  kuna  utata  wa  matunzo  ya  watoto  na  wale  ambao  wamekuwa wana ndoa  lakini  sasa  tayari  wametengana  aidha  kwa  talaka  au  bila  talaka.  Niseme  tu kwa  ufupi  kuwa  suala  la  matunzo  ya watoto  linajumuisha  mambo  mengi  nami  nitaeleza  baadhi  tu.


1.HUWEZI  KUMLAZIMISHA ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INAMRUHUSU MKOPAJI KUJIUZIA MWENYEWE KIWANJA/NYUMBA YA DHAMANA.


Na  Bashir  YakubWiki  kadhaa  zilizopita   nilipigiwa  simu  na  mama  mmoja  akitaka  nimpe  ushauri  wa  sheria  kuhusu  jambo  fulani. Nilifanya  miadi  naye   na tukafanya  mazungumzo. Kubwa  kuhusu  shida  yake  ilikuwa  ni  tatizo  la  mkopo ambapo  benki  moja imeuza  nyumba  yake  maeneo  ya  Kinondoni  Dar  es  saaam.  Wasiwasi  wake  ulikuwa  ukiukwaji  wa  taratibu  za  mauzo  ya  nyumba  yake  na  hivyo  akitaka  kujua  afanye  nini. Maswali  yake  yalikuwa  mengi  na ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Na  Bashir  Yakub.Siku  zote  wananchi  wamekuwa    wakililalamikia jeshi  la polisi  kwa  namna  linavyoendesha  shughuli  zake hasa wakati  wa  ukamataji (arrest). Matumizi  ya  nguvu, ubabe    na  kutofuata  sheria    na  taratibu  maalum  limekuwa  ndio  tatizo  kubwa  kwa  wananchi  dhidi  ya  askari.  
Sio  siri  askari wamekuwa  wakitumia  nguvu  na  ubabe  mno  katika  kuwakamata raia.  Hata  pale pasipo  na  haja  yoyote  ya  kutumia  nguvu    bado  wao  wamekuwa  wakilazimisha...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INARUHUSU KUJIKINGA HADI KUUA

Na   Bashir  Yakub.
Kifungu  cha 18  cha  Sheria  ya  Kanuni  za  adhabu  sura  ya  16  kimeeleza  hatua  ya  mtu  kujikinga  mwenyewe,  kumkinga  mwenzake  ,  mali  yake  mwenyewe  na  mali  ya  mwenzake. Kujikinga( defence)  maana  yake  ni  kujilinda  au  kujitetea  inapokwa  imekutokea  dharula   ya  kuvamiwa  na  mtu  au  watu  waovu. Uovu  ni  uovu  si  lazima  awe  mwizi .  Hata  mtu  asiyekuwa  mwizi  lakini  amekuvamia  kwa  nia  ovu iwe  nyumbani, kazini  au  sehemu  nyingine...

 

10 years ago

Mwananchi

SHERIA: Sheria gharama za uchaguzi kung’ata zaidi

>Serikali inakusanya nguvu kuhakikisha Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010, inang’ata wagombea wote watakaojihusisha na rushwa katika harakati zao za kusaka uongozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani