Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malaysia:Familia zatishia kususia chakula

Jamaa za abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia,wametisha kususia chakula ikiwa Malaysia haitasema ukweli kuhusu ndege iliyotoweka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Familia yatishia kususia mwili wa ndugu yao

FAMILIA ya marehemu Elinema Massawe imesema wataususa mwili wa marehemu ndugu yao katika Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu pindi polisi hao watakapolazimisha kazi ya upasuaji kufanywa na  Daktari wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeua watu 77 atishia kususia chakula hadi afe

Mwanamume aliyeua watu 77 nchini Norway ametishia kususia chakula hadi afariki dunia, akilalamika kwamba anateswa gerezani.

 

10 years ago

Vijimambo

FAMILIA YA NDASHAU WAMUAGA DJ LUKE KWA CHAKULA CHA JIONI HOUSTON, TEXAS


 Familia ya Ndashau ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Dj Luke wakila chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Kichina maalum kwa ajili ya kumuaga baa da ya Dj Luke kumaliza kilichomleta Houston alipokuwepo kwa ajili ya Pazi Reunion siku ya Jumamosi March 14, 2015. Dj Luke akiwa na familia ya Ndashau siku walipompeleka katika chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Kichina Houston kwa chakula cha pamoja na familia. Bwn na Bibi Ndashau ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Dj Luke. Mjukuu akijinafasi na...

 

9 years ago

Habarileo

Ndoa za mkeka zatishia elimu Zanzibar

KUONGEZEKA kwa tatizo la ndoa za mkeka Zanzibar kumetajwa kuchangia kuzorota kwa maendeleo ya elimu, hasa kwa watoto wa kike Unguja na Pemba.

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania Malaysia wakutana na wafanyabiashara wa Malaysia (MEXPA)

Ubalozi wa Tanzania leo hii ulikutana na kufanya Manzungumzo ya pamoja kuangalia fursa za Kiuchumi zilizipo Tanzania na na kikundi na uongozi wa Malaysian Exporters Association.(MEXPA) Kwenye picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo kutoka kushoto ni: Mr. Rogathian Shao,  Naibu Mkurugenzi na Balozi Mdogo, Dr. S. P.Dhanabalan Makamu wa Rais wa Kuala Lumpur & Selangor Indian Chamber of Commerce and Industry, Ms. Puan severan Dhalliwal- Makamu wa Rais wa MEXPA, Mr. Abdul Kabur Ibrahim-Rais...

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani