FAMILIA YA NDASHAU WAMUAGA DJ LUKE KWA CHAKULA CHA JIONI HOUSTON, TEXAS

Familia ya Ndashau ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Dj Luke wakila chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Kichina maalum kwa ajili ya kumuaga baa da ya Dj Luke kumaliza kilichomleta Houston alipokuwepo kwa ajili ya Pazi Reunion siku ya Jumamosi March 14, 2015. Dj Luke akiwa na familia ya Ndashau siku walipompeleka katika chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Kichina Houston kwa chakula cha pamoja na familia.
Bwn na Bibi Ndashau ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Dj Luke.
Mjukuu akijinafasi na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST

11 years ago
Michuzi.jpg)
PSPF YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA WALIMU MJINI MOROGORO
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
PSPF YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA WALIMU MJINI MOROGORO
10 years ago
Michuzi.jpg)
Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas
.jpg)
Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...
10 years ago
VijimamboTexas Karate Black Belts Seminar Houston. Texas
11 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...
10 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA WATEJA WAKE MTWARA


11 years ago
VijimamboUBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA CHAKULA CHA JIONI
11 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR

