Watoto waliokulia familia korofi wana uwezo wa kukabili matatizo ya kimaisha
Agatha na mumewe Jackob wanaishi katika nyumba ya kupanga ambayo kila mwezi wanatakiwa kulipa bili ya umeme kwa zamu, cha kushangaza Jackob anapokosa fedha hiyo hachanganyikiwi wala kuona aibu kusema sina.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Asha Bakari: Msusi asiyekuwa uwezo wa kuona anavyojikimu kimaisha Uganda
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Wanawake wengi wana matatizo ya njia ya mkojo
9 years ago
Habarileo26 Oct
Polisi yatambia uwezo ilionao kukabili vurugu
KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, amesema wanavyo vitendea kazi vya kutosha na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vurugu itakayofanywa na mtu ama kikundi cha watu kwa lengo la kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.
11 years ago
Habarileo22 May
Wawakilishi wataka uwezo kukabili ajali baharini
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wametaka Serikali kujengea uwezo Idara ya Maafa kwa ajili ya kukabili matukio ya ajali za baharini pamoja na matukio ya moto.
11 years ago
Mwananchi18 May
Jaji Warioba; Viongozi watoa matusi wana matatizo ya maadili
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Wanawake wana uwezo mkubwa kiuongozi
WAKATI kila Mtanzania anajiuliza ni nani atamrithi Rais Jakaya Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuna mapendekezo yanayojitokeza kwamba sasa ni zamu ya kina mama kuliongoza taifa letu. Wengine...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Bwire: Walimu wa Kitanzania wana uwezo kuliko wageni
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Picha: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Watembelea Kituo cha Watoto Wenye Changamoto za Kimaisha
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya jana akiwa paomja na team yake ya Rozzie ambao ni watoaji wa jarida la kila wiki la Rozzie walitembelea kituo kimoja cha kulelea watoto wenye changamoto mbali mbali hapa jiji Dar es salaam, mbali na kutoa msaada mbali mbali, Rose na team yake walishiriki michezo mbali mbali na watoto hao.
“Si kitu kibaya kutenga muda wa kuwafariji wenzetu wenye matatizo, Jumapili ya jana ilikuwa nzuri sana kwa upande wetu tuliweza kuwakilisha vizuri tu na...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Siasa za Tazania: Je, CCM wana uwezo gani wa kuhimili migogoro?