Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawakilishi wataka uwezo kukabili ajali baharini

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wametaka Serikali kujengea uwezo Idara ya Maafa kwa ajili ya kukabili matukio ya ajali za baharini pamoja na matukio ya moto.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Polisi yatambia uwezo ilionao kukabili vurugu

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, amesema wanavyo vitendea kazi vya kutosha na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vurugu itakayofanywa na mtu ama kikundi cha watu kwa lengo la kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi wataka kero za Muungano zitatuliwe

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi, wametaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupatia ufumbuzi kero za Muungano, ambazo baadhi yake zimekuwa zikirudisha nyuma maendeleo ya wananchi na kupambana na umasikini.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto waliokulia familia korofi wana uwezo wa kukabili matatizo ya kimaisha

Agatha na mumewe Jackob wanaishi katika nyumba ya kupanga ambayo kila mwezi wanatakiwa kulipa bili ya umeme kwa zamu, cha kushangaza Jackob anapokosa fedha hiyo hachanganyikiwi wala kuona aibu kusema sina.

 

11 years ago

Habarileo

Tamwa wataka jamii kukabili ukatili wa kijinsia

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), leo kinaungana na wanawake kote nchini kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huku kikitaka jamii ielekeze nguvu katika kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu.

 

10 years ago

StarTV

Ajali ya AirAsia, Miili 40 yaopolewa baharini.

Kufuatia kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Asia ndege namba QZ8501At ,miili arobaini imeopolewa kutoka baharini katika utafutaji wa mabaki ya ndege hiyo na utafutaji unaendelea.

Miili hiyo ilionekana ikielelea karibu na taka za bahari pwani ya Indonesia,eneo la Borneo moja ya eneo la utafutaji mabaki ya ndege hiyo.Na taarifa kutoka serikali ya Indonesia zimethibitisha kwamba miili hiyo inatoka katika ndege iliyopotea.

Ndege hiyo aina ya Airbus A320-200,ilikuwa imebeba abiria mia moja...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wataka maamuzi magumu kukokesha ajali

CHAMA cha Wafanyakazi wa Usafirishaji kwa Njia ya Barabara Tanzania (TAROTWU) kimesema matatizo yanayotokea sasa, zikiwemo ajali za barabarani ni sehemu ya changamoto ambazo zinatakiwa kuchukuliwa maamuzi magumu na Serikali.

 

9 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MADINI ALITAKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA TAIFA (NDC) KUVITAMBUA VIPAJI NA UWEZO WAANZILISHI WA VIWANDA ILI KUWAJENGEA UWEZO

Waziri wa Madini Dotto Biteko amelitaka shirika la maendeleo la taifa (NDC)kujipa muda wa kuvitambua vipaji na uwezo walionao waanzilishi mbalimbali wa viwanda na kuona wanawasaidiaje katika kukuza uwezo wao badala ya kukimbilia kuulizia vibali au leseni ya shughuli zao.

Biteko ameyasema hayo alipotembelea kiwanda kidogo cha kulainisha chuma kilichopo katika kata ya Lubonde wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kinachomilikiwa na Bw. Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) na kuona uwezo wake katika...

 

9 years ago

GPL

AFUMANIWA, AJITOSA BAHARINI

Chande abdallah na issa mnally AIBU! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuhura maarufu kama Lolo Princessa ambaye ni mpenzi wa kijana anayejulikana kama Koko Byanco juzikati alijikuta akipata aibu kubwa baada ya kufumaniwa akiwa na mwanaume mwingine kiasi cha kusababisha mchepuko huo kujitosa baharini katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam kukwepa kipigo. Soma zaidi===>http://bit.ly/1GaLPk2 ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani