Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali ya AirAsia, Miili 40 yaopolewa baharini.

Kufuatia kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Asia ndege namba QZ8501At ,miili arobaini imeopolewa kutoka baharini katika utafutaji wa mabaki ya ndege hiyo na utafutaji unaendelea.

Miili hiyo ilionekana ikielelea karibu na taka za bahari pwani ya Indonesia,eneo la Borneo moja ya eneo la utafutaji mabaki ya ndege hiyo.Na taarifa kutoka serikali ya Indonesia zimethibitisha kwamba miili hiyo inatoka katika ndege iliyopotea.

Ndege hiyo aina ya Airbus A320-200,ilikuwa imebeba abiria mia moja...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Miili 40 yaopolewa baharini

Kufuatia kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Asia ndege namba QZ8501At ,miili arobaini imeopolewa kutoka baharini.

 

10 years ago

GPL

AIRASIA QZ8501: MIILI YAANZA KUWASIL INDONESIA

Wanajeshi wakiwa wamebeba miili ya mwanzo ya watu waliokufa katika Ndege ya AirAsia. MIILI ya mwanzo ya watu wawili waliokuwa kwenye Ndege ya AirAsia QZ8501 imewasili leo jijini Surabaya, Indonesia ambapo ndugu na jamaa wanasubiri kwa utambuzi. Ndege hiyo aina ya Airbus A320-200, ilipotea Jumapili iliyopita ikiwa imebeba watu 162 ikitokea Surabaya kwenda Singapore, ambapo baadhi ya miili imeanza kupatikana jana katika Bahari ya...

 

10 years ago

GPL

HALI MBAYA YA HEWA YAKWAMISHA ZOEZI LA UOKOAJI MIILI KUTOKA AIRASIA QZ8501

Baadhi ya mabaki ya Ndege ya AirAsia yakiwa Uwanja wa Ndege wa Pangkalan Bun, Indonesia leo. Mwili wa mmoja wa watu waliokuwa kwenye ndege ya AirAsia ukielea katika Bahari ya Java.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Rohingya: 'Miili ilikuwa inarushwa baharini usiku'

Khadiza Begum, mkimbizi wa Rohingya, aliondoka Myanmar kukimbia ghasia lakini akakumbana na makubwa baharini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali ya Ndege:Miili kupelekwa Uholanzi

Miili iliyopatikana nchini Ukraine itasafirishwa kuelekea Uholanzi kwa ajili ya kuitambua

 

9 years ago

BBCSwahili

Miili ya ajali ya ndege yapelekwa Urusi

Miili ya watu zaidi mia moja na sitini waliokufa katika ajali ya ndege nchini Misri ipo njia kuelekea katika mji wa St. Petersburg nchini Urusi.

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi wataka uwezo kukabili ajali baharini

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wametaka Serikali kujengea uwezo Idara ya Maafa kwa ajili ya kukabili matukio ya ajali za baharini pamoja na matukio ya moto.

 

10 years ago

Dewji Blog

Miili 23 ya ajali ya basi la Another G na lori Mufindi Iringa yatambuliwa

Mkuu wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita (kushoto)  akiwa na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya hiyo ya Mufindi katika kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya Mufindi. Baadhi ya ndugu wakichukua mwili wa ndugu yao baada ya kuutambua

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto)  akimfariji mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya  basi la Another G na lori  iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana, wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama...

 

10 years ago

Vijimambo

MIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita  kushoto  akiwa na wajumbe wa kamati ya  ulinzi na usalama wilaya hiyo ya  Mufindi  katika  kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya  MufindiBaadhi ya  ndugu  wakichukua mwili wa ndugu  yao baada ya  kuutambua

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto)  akimfariji  mmoja kati ya  majeruhi wa ajali ya  basi la Another G na lori  iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana  ,wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani