Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wengi wana matatizo ya njia ya mkojo

>Magonjwa ya mfumo wa njia ya mkojo na figo ni kati ya maradhi yanayowasumbua watu wengi duniani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO KWA WANAWAKE/WANAUME

LEO tuangalie tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo (Urinary disorders) kwa wanawake na wanaume. Maambukizi haya yakiathiri sehemu za chini za kibofu cha mkojo kitaalamu huitwa simple cystitis au Bladder infection na maambukizi hayo yakitokea sehemu za juu za mfumo wa mkojo huitwa pylonephritis au kidney infection. Ugonjwa huu husababishwa na bakteria anayeitwa Escherichia coli. Tatizo hili husababishwa kwa kiasi kikubwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Maradhi ya njia ya mkojo yenye kuchochea VVU kwa wanawake

Maradhi mengi ya zinaa huweza kudumu mwilini kwa muda mrefu kutokana na mwathirika kupuuzia athari ndogondogo zinazoweza kuvumilika lakini madhara yake ni makubwa

 

11 years ago

Mwananchi

UTI: Maambukizi ya njia ya mkojo yanayoathiri mamia ya wanawake nchini

>Katika magonjwa yanayosumbua wanawake wengi na watoto nchini hivi sasa ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo U.T.I (Urinary Tract Infection).

 

9 years ago

Mwananchi

PIRAMIDI YA AFYA: Matatizo ya mfumo wa mkojo

Baada ya kumaliza mfululizo wa makala ya udogo wa maumbile ya uume, leo nawaletea mada nyingine kuhusu matatizo ya mfumo wa mkojo. Mfumo wa mkojo unaundwa na figo mbili, mirija miwili inayotoa mkojo katika figo kwenda katika kibofu, ijulikanayo kama ureta.

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO-4

Wiki iliyopita tulieleza kwa kina tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo, leo tunaeleza dalili na tiba yake. Uwepo wa mawe katika figo na mirija ya figo hata ndani ya kibofu pia ni mojawapo ya chanzo cha maambukizi haya katika njia ya mkojo. Dalili
Baadhi ya dalili za mtu kuambukizwa bakteria katika njia ya mkojo kubwa ni maumivu wakati wa kukojoa, mkojo kuwa na rangi ya njano kupindukia na kuwa na harufu kali japokuwa siyo...

 

11 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO

Tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo kitaalamu linaitwa ‘Urinary Track Infections’ au kwa kifupi ‘UTI’ au imezoeleka kama Yutiai. Watu wengi wanafahamu Yutiai lakini kila mmoja anaielezea kivyake. Ilimradi tu kuna mabadiliko katika njia ya mkojo au ukeni basi mtu anajua ni Yutiai. Viungo vinavyohusisha mfumo wa mkojo ni figo, mirija ya kusafirisha mkojo toka katika figo hadi kwenye kibofu chenyewe...

 

9 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO (UTI)-2

Tunaendelea kuchambua maambukizi katika njia ya mkojo au UTI. UTI KWA WANAWAKE
Upungufu wa homoni ya wanawake iitwayo Oestrogen husababisha bakteria wanaosababisha maambukizi katika njia ya mkojo kuzaliana kirahisi. Pia matumizi ya baadhi ya dawa kwa muda mrefu, unywaji wa vinywaji vyenye sukari kwa muda mrefu na kutokunywa maji ya kutosha pia huchangia tatizo hili. Uwepo wa mawe katika figo na mirija ya figo pia ni mojawapo ya...

 

9 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO (UTI)

Leo tutazungumzia tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract Infection (UTI) ugonjwa ambao unawasumbua sana wanawake wengi na watoto japokuwa hata wanaume huugua. Maambukizi katika njia ya mkojo au kama unavyojulikana kwa wengi UTI huathiri mfumo wa mkojo ikiwa ni pamoja na Ureter ambayo ni kama bomba linalosafirisha mkojo kutoka kwenye figo, pia kibofu cha mkojo na mrija wa kutolea mkojo nje yaani Urethra. Ugonjwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UTI (Maambukizi katika njia ya mkojo)

UTI ni kirefu cha neno Urinary Track Infection au kwa Kiswahili tunasema ni maambukizi katika njia ya mkojo. Ni ugonjwa unaosababishwa zaidi na bakteria ambao wanapatikana ndani ya sehemu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani