PIRAMIDI YA AFYA: Matatizo ya mfumo wa mkojo
Baada ya kumaliza mfululizo wa makala ya udogo wa maumbile ya uume, leo nawaletea mada nyingine kuhusu matatizo ya mfumo wa mkojo. Mfumo wa mkojo unaundwa na figo mbili, mirija miwili inayotoa mkojo katika figo kwenda katika kibofu, ijulikanayo kama ureta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Wanawake wengi wana matatizo ya njia ya mkojo
10 years ago
Mwananchi26 Sep
PIRAMIDI YA AFYA: Ugonjwa wa mafindofindo kwa watoto
10 years ago
Mwananchi08 May
PIRAMIDI YA AFYA: Uchunguzi wa ugumba kwa wanaume
10 years ago
Mwananchi14 Aug
PIRAMIDI YA AFYA: Kurefusha uume na madhara yake kiafya
10 years ago
Mwananchi10 Jul
PIRAMIDI YA AFYA: Ufanye nini endapo tiba ya ugumba imeshindikana?
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Suluhu kwa wagonjwa wa Figo na mfumo wa mkojo yapatikana
Watanzania kunufaika na kile ambacho wachambuzi huona kama nafasi adimu katika sekta ya afya. Hii ni kwasababu nchi inatarajia kupokea wataalamu wawili kutoka taasisi mashuhuri ya matibabu duniani. Kwa kushirikiana na madaktari kutoka hosipitali ya Hindu Mandal. Madaktari kutoka hospitali ya Apollo watahudumia na kutoa ushauri kwa wagonjwa wa figo na mfumo wa mkojo siku ya Oktoba 10 na Oktoba 11 katika Hospitali ya Hindu Mandal Dar es Salaam.
Watanzania wengi wenye maradhi hayo hushindwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-n7DsnPd7bHU/XnNUUy2jTCI/AAAAAAALkbE/UO0ZoGFduZ4ff3k2lRHDJtMdqxsbaUXQwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B1.29.27%2BPM.jpeg)
MTAMBO WA KISASA WA KUVUNJA MAWE KWENYE MFUMO WA MKOJO BILA UPASUAJI WATUA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Huduma hiyo imezinduliwa baada ya kuwasili kwa mtambo wa kisasa unaotumia mionzi katika kufanya huduma hiyo tofauti na awali ambapo wagonjwa walikua wakifanyiwa upasuaji.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma hiyo itafanyika kwa mara...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
‘Mfumo wa elimu una matatizo’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3KEw8-pYFlGcWS7qwOK0nzLkFDcIoqo*x4QQJG9MpBoQ5ILgeuzGImlvgjleiBAL6*2GdJ3Haim-B*SNzttPPWM/Fallopian_Tube.png)
MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE-2