Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saratani:Watu warefu wamo hatarini

Utafiti wa kampuni moja ya Sweden uliofanyiwa watu milioni 5 umeonekana kuthibitisha nadharia kwamba urefu wa mtu na hatari za ugonjwa wa saratani zina uhusiano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kujitoa uhai:Vijana wengi wamo hatarini

"Watu hudhani ni uhalifu kujiua,lakini sivyo hivyo,anasema lauren Ball mwenye umri wa miaka 20 ambaye amejaribu kujiua kwa mara kadhaa.

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi shule za Papa, Jitengeni wamo hatarini

WANAFUNZI wa shule za msingi Papa na Jitengeni katika kata za Vunta na Kihurio wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wapo hatarini kupoteza maisha kutokana na kusomea katika madarasa chakavu yanayotishia kuanguka wakati wowote.

 

10 years ago

Habarileo

Albino vijijini hatarini kupata saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanaoishi vijijini, wana hatari ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.

 

9 years ago

Mtanzania

Wapenda makalio makubwa hatarini kupata saratani ya ubongo

Jamii Yetu Pull Out. Siah.inddNI kitendo chenye madhara makubwa kwa afya na hata kuchukua uhai wa mwanadamu, lakini hakielekei kukoma
miongoni mwa wanawake kwa sababu tu ya kuabudu urembo.

Ni uchomaji sindano makalioni ili kuyakuza kuwa katika ukubwa wanaoutaka, ambao hapa Tanzania kwa jina la mitaani unajulikana kama makalio ya Kichina.

Wanawake kote nchini Marekani na kwingineko duniani wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa kumiminika katika ‘soko jeusi’ la upandikizaji makalio ili wapate yenye ukubwa...

 

11 years ago

Michuzi

ASILIMIA 25 YA WANAWAKE WAKO HATARINI KUPATA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akizungumza na wadau kuhusu majukumu ya T-Marc.  Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu, mgeni rasmi wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha jamii kuhusu huduma za uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliondaliwa na taasisi isiyo ya Kiserikali ya T- Marc Tanzania katika mkutano na wadau mbalimbali wa afya mkoa wa Iringa uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha Veta.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Maji hatarini kuvunja ndoa za watu Moro’

Wanawake wa Mikese na Mkambarani mkoani Morogoro, wameiomba Serikali kuwatatulia kero sugu ya maji iliyodumu kwa muda mrefu kiasi cha kusababisha ndoa zao kuingia kwenye migogoro kutokana na kutumia muda mwingi kutafuta na kuziacha familia bila kuwa uangalizi wa kutosha.

 

10 years ago

Mwananchi

Ufahamu ugonjwa wa pumu na jinsi watu wengi walivyo hatarini

Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko uvimbe sugu mwilini kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii na kuwa na ute mzito hivyo kupungua kwa njia ya kupitishia hewa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je, unawatambua watu walio hatarini kuambukizwa virusi vya corona?

Virusi vya corona vinaweza kumuathiri mtu yeyote, lakini watu wenye maradhi fulani pamoja na wazee ni rahisi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani